Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 345
Kwa kweli ni kitu cha ajabu sana kwa JK kutosafiri kwa muda mrefu kiasi hiki.
lkn si safari za nje tu. Hata za hapa hapa bongo zimepungua sana to aingie madarakani mara ya pili. Sasa hivi anaenda mikoani kufungua/kuzindua mkutano au barabara!! Siyo kama pale mwanzoni walikuwa wanashindana na Lowassa kwenda mikoani.
But this s a blessing in disguise. Safari zao za mikoani zilikuwa zinatugharimu sana. Ilikuwa akienda mkoa fulani, watendaji wote wa wilaya na taasisi zote zilizopo mkoa huo walikuwa wanashiriki kuzunguka nao kwa muda wote watakao kuwepo huko. This was very costly indeed kwani pesa za kuzungukia zilikuwa nje ya budget!!!
Ingawa sina hakika na sababu zilizomfanya apunguze safari za nje ya nchi, sababu kubwa ya kupunguza safari za ndani ni za kiusalama. Sasa hivi yuko very unpopular kiasi kwamba wana TISS wamemshauri asiende ovyo mikoani kwani anything untoward can happen to him!!