Kwa nini Kikwete hasafiri tena?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wakuu naombeni kama kuna mtu mwenye hizi taarifa,tunasikia viongozi wa dini walimfata na kumwambia aache kabisa tabia ya kusafiri hovyo hovyo kwani ni mzigo kwa taifa
tumefatilia sana hizi taarifa lakini nafikiri zilifanyika kwa siri sana,mwenye taarifa atutonye kidogo tunatengeneza biography ya huyu mweshimiwa kikwete!
 
wamemchoka huko anakoenda maana hamna cha maana anachoomgea zaidi ya kujichekesha na kulala tu kwenye mikutano sijui aliumwa na mbung'o utotoni
 
Habari za Shigongo unazileta hapa za nini? Lete source ili watu wajue seriousness yako, siyo kujiropokea tu.
 
wamemchoka huko anakoenda maana hamna cha maana anachoomgea zaidi ya kujichekesha na kulala tu kwenye mikutano sijui aliumwa na mbung'o utotoni

mkuu kuna taarifa za watu wenye busara walimfata na kumpa real,hii ni kweli?
 
Mkuu JK kutosafiri haiwezi kuzuiwa na ushauri wa mtu yeyote!!
Kwa sasa amepaa zake US!! Wewe cha kufanya subiri tu picha na ma-celebrities wa US!!!
 
Taarifa zinasema kwenye safari yake ya mwisho alikoenda kule ughaibuni aliaibika sana.
Kumbe hata wazungu wamemchoka. kila nyumba anayofikia anaambiwa hakuna malazi, hata gesti bubu za wazungu alinyimwa kulala.
 
Chezo
Nafikiri kuna usahihi wamemchoka kwani amekwenda kila mahali duniani safari 300 sio mchezo du!:A S 465:na kwa kuwa Luhanjo alisitisha Ajira kwa 50% huenda waraka wa kupunguza matumizi ya Ikulu umemkwamisha. Labda anapumzika kukusanya nguvu hij winter huko ulaya anakokutamani sana kuna baridi kinoma kwa afya yake koti zito. Tusubiri kajua katoke as usual kiguu na njia. Ukweli ni kwamba Hazina pesa zimekwisha labda achapishe noti mpya ajimwage
 
Mkuu JK kutosafiri haiwezi kuzuiwa na ushauri wa mtu yeyote!!
Kwa sasa amepaa zake US!! Wewe cha kufanya subiri tu picha na ma-celebrities wa US!!!

mkuu nakuambia kikwete hawezi kusafiri tena,hii taarifa yako sio ya kweli
 
Kasima ya Safari imekata..Baada ya Maazimisho ya Miaka 50 ya Uhuru, kumekuwa na Ukata Mkubwa sana Serikalini..Safari za viongozi zimepunguzwa kwa asilimia 80%
 
Kasima ya Safari imekata..Baada ya Maazimisho ya Miaka 50 ya Uhuru, kumekuwa na Ukata Mkubwa sana Serikalini..Safari za viongozi zimepunguzwa kwa asilimia 80%

mkuu unataka kusema mshahara wake wa kila mwezi hawezi kusafiri na kurudi na kutanua anavyotaka?
 
mkuu unataka kusema mshahara wake wa kila mwezi hawezi kusafiri na kurudi na kutanua anavyotaka?
Kaka toka ameingia Madarakni hajawahi kutumia mshahara wake..safari zote anazofanya zina gharimiwa na Serikali, ni za Kiserikali kwa maana nyingine..mshahara hautumiki kwake hvi sasa.
 
wamemchoka huko anakoenda maana hamna cha maana anachoomgea zaidi ya kujichekesha na kulala tu kwenye mikutano sijui aliumwa na mbung'o utotoni

Sawa inawezekana hatupendi afanyayo ila ni Raisi wetu wakubwa heshima kidogo haikupunguziii kitu kumpa heshima yake....
 
Kwa rafiki yake Obama (Washington DC, NY) baridi kali sana naye mbovu wa baridi na snow ndiyo maana kipindi hiki katulia kidogo safari za majuu
 
tunasikia amewahi kukaa marekani week tatu mpaka obama akasahau kuna rais mgeni ndani ya nchi yake'mimi siamini hii!
 
Anawachosha wenzetu hawataki tena kumuona.na wamemjua kilaza anapokua anatoa speech zisizo na mshiko(pumba)
 
wakuu naombeni kama kuna mtu mwenye hizi taarifa,tunasikia viongozi wa dini walimfata na kumwambia aache kabisa tabia ya kusafiri hovyo hovyo kwani ni mzigo kwa taifa
tumefatilia sana hizi taarifa lakini nafikiri zilifanyika kwa siri sana,mwenye taarifa atutonye kidogo tunatengeneza biography ya huyu mweshimiwa kikwete!

Marais wote wa Afrika wameacha kusafiri safiri kama sio lazima, labda wanachelea kukutana na waziri mkuu wa London!!
 
Back
Top Bottom