Kwa nini imekuwa hv

Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?

Kimbweka,

Pamoja na maelezo yaliyotolewa na wadau, ni jambo muhimu sana kuhakikisha unapanga uzazi. Kuna sababu nyingi ila uchumi (na hali ya maisha inayoutegemea) unabeba sehemu kubwa. Pamoja na kuwa sisi tulizaliwa karibia 10, siwezi (labda niwe kichaa) kujaribu huo mchezo. Hata kama kifedha najiweza, sitaweza kuwahudumia hao watoto katika mambo yote muhimu. Zamani kazi ya baba ilikuwa kuzaa tu na mama na watoto walitunza mashamba ili kuhakikisha chakula kinapatikana. Kwa hiyo watoto walikuwa ni nguvu kazi pia. Sasa hivi kazi ya kulea ni ya baba na mama.

Halafu hata kama ningependa, isingewezekana kwa sababu wife ana uwezo wa kupata watoto kama 5 au 6 kabla yakufikia menopause. Kwa hiyo hii inaendana na hali ya maisha kama ilivyotoea Ulaya Miaka ya 1800 (soma Marthusian theory). Afrika ya sasa ni kama Ulaya ya miaka 1800 kwa hiyo si suala la kuiga. Ni forces zinazotokana na maendeleo ya kiuchumi.
 
Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
...Mkuu avatar yako utata. Dogo anaangali ile midoli ya kwenye maduka ya nguo au kitu ya ukweli??? Any way aina ya maisha ya siku hizi inawafanya watu wao wenyewe kuamua kuwa na watoto 2 au 3. Huduma za jamii, gharama za maisha ziko juu, kutokuwa na uhakika wa kipato, na kama alivyosema member mmoja wakati nao. Siku hizi ukiwa na watoto wengi unaonekana umepitwa na wakati.:moony:
 
Maty,

Mengine umesema kweli ila hapo kwenye red umekosea. Chance ya mtoto kuishi hadi kufikai miaka 5 ni kubwa zaidi leo kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Pia uhakika wa chakula bora (siyo chakula tu) ni mkubwa leo kuliko huko nyuma.

Kwenye blue... hayo ni matatizo ya mimba za ukubwani. Mwanamke aliumbwa kuanza uzazi baada ya kuvunja ungo (around 15 years). Sasa wengine wanaanza kuzaa baada ya kufikisha miaka 30. Hiki ni kipindi hatari sana kwa mambo ya uzazi. Maelezo yako mengi ila medically siyo salama kuzaa inapofikia umri wa kuanzia 35. Hata nchi za Magharibi wanalo hilo tatizo.

kumbuka uhakika wa chakula bora unategemeana na kipato chako kwa maisha ya sasa kwani chakula bora kina gharama kubwa sana hasa cha mtoto mdogo tofauti na zamani vyakula vilikuwa vingi na bei nafuu.

Hivi kumbe mimba za ukubwani ndio zinazosababisha watu kupata visu wakati wa kujifungua asante kwa maelezo hayo maana mi huwa ninashangaa sana watu wanavyopata matatizo kwenye mimba cku hizi mpaka inaogopesha kubeba mimba.
 
Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?

Wapenzi huoana huku mtu kishatoa mimba zaidi ya tano, hivo wakati unahesabummoja, yeye anakuwa anajua huyu wa tano.

Pia, hii midawa wanayotumia inawasumbua, miili imekaa ovyoovyo hata haina nguvu, hivo ni hatari kuzidi hapo.
 
Hapo siyo kweli. Mwanamke anakuwa na mayai zaidi ya 350,000 kwa hiyo kutoa mimba hata 10 hakuwezi kumzuia mtu kupata watoto wengi. Tatizo kubwa ni window period ambayo mwanamke anaweza kuzaa. Ni kuanzia miaka 15 hadi 45 (kwa wastani). Kwa hiyo ana miaka 30 tu ya kuzaa. Endapo ataweza kuzaa mtoto mmoja kila baada ya miaka 2 basi anaweza kufikisha watoto 15 tu. Sasa hebu anzia pale alipoolewa (sasa hivi siyo chini ya miaka 25) ndiyo unaweza kujua atamudu kuzaa watoto wangapi akiamua kuzaa bila kusimama kama sungura. Na pia ujue baada ya miaka 35 kwa wanawake wengi uzazi unakuwa ni mgogoro. Biology inachangia sana kwenye haya mambo ingawa lifestyle imesababisha matatizo zaidi.
 
chekechea tu ada 1.5 ukiwa nao 10 watasoma kweli? na watu wenye uwezo mzuri ndo wanaishia wa2 ila wale walala hoi ambao kwao ngono ndo starehe pekee wanazaa wengi tuuu!
 
Wapenzi huoana huku mtu kishatoa mimba zaidi ya tano, hivo wakati unahesabummoja, yeye anakuwa anajua huyu wa tano.

Pia, hii midawa wanayotumia inawasumbua, miili imekaa ovyoovyo hata haina nguvu, hivo ni hatari kuzidi hapo.

Hehehehee duh hapa kuna kaukweli ma abosheni yamezidi yaani mpaka mtu anaingia kwenye ndoa keshachomoa vichanga kama 5 mmmh
:A S 112:
 
We zaa watoto kumi uone moto wake
wanandoa wengi wa hapa tz wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
 
Ni poa tena wawili mwisho kwa kila familia nchi nzima itakuwa poa tu.... sasa hivi tupo kama 45 millioni, fikiria 2050? Itakuwaje, eneo haliongezeki, 3050 watajenga hadi Serengeti mbugani , kote human animals.....
 
We una wangapi Mtu wa Pwani?
Halafu hii avatar yako kama ya ukweli vile ..........:smile::smile-big: :focus: hamna vya bure tena kama zamani, shule hela, hospitali hela, kazi hazipatikani na hata kama unaamua kuwa mkulima mvua ndo ivo tena zimepote, sijui ndo mwisho unakaribia? :bowl:
 
Uchumi, kukosa muda wa kutulia nyumbani kulea, uzazi kuwa wa matatizo vyote vimechangia kuwa na idadi ndogo ya watoto.

Zipo pia sheria na taratibu kwa mfano likizo za uzazi zenye malipo hulipwa kila baada ya miaka mitatu.

Sera za idadi ya watu kudiscourage uzazi wa watoto wengi kama namna ya kupunguza msongo kwa familia na hata serikali katika kupanga mipango ya maendeleo

Huko nyuma maisha yalikuwa rahisi, mahangaiko machache, imani za kidini na mila vilifuatwa zaidi kuliko siku hizi na kufanya watu kuzaa sana.Siku hizi ukizaa sana basi uwe ama hujali kuhusu maendeleo ya familia yako au basi una muda na pesa nyingi.
 
abortion zimezidi nenda pale marie stopes mwenge utakut msululj wa kina dada, mama, wakusoma wapo pale ukiona utadhani clinic kumbe wote wamekuja kusafishwa(abortion) 2004 nilishuhudi wanafunzi wa form three wameletana pale boyfriend na gf wake kaja kutoa mimba. sasa huyo akifikia umri wa kuzaa kutakuwa na kitu kweli hapo? mke wa mtu kaja toka uzuri tandale kapigwa mimba na jamaa la nje mmewe kasafiri mwanamke kasindikizwa na shosti yake kaja kutoa mimba. siku hiyo kulikuwa na wanawake takriban 25 mpaka 30 wanatoa mimba mungu tuepushe na dhahma jamaa yangu alikuwa na demu pale mlimani, alimchomoa km nne hivi mpaka demu alipomaliza chuo. na hakuoa sasa km kun Jamaa alienda oa huko nadhani atatafuta mtoto mpaka ashangae
 
mwingine jamaa alienda kwa obama kusoma akamwachia jamaa yake amchungie mchumba wake,tehe jamaa akabinafsisha ngoma kwa miaka mitatu walizichomoa mimba nne jamaa akarudi within two yrs akaoa bila kujua rafiki yake alitafuna na kutema. ndoa ina five yrs sasa no kid! demu ana conceive ikifika miezi miwili mitatu kitu kinachoropoka. hizo ngo gharama za usista duu
 
Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata wenye uchumi mkubwa na mzuri sana sana huishia 3 ni kwa nini?
TATIZO HUWEZO WAO KITANDANI NI MDOGO HILO ULIJUE KWANZA...PILI VYAKULA VYENU MNAKULA VYA MAKOPO MKITOA MBEGU BASI NYEPESIIIII WE UNADHANI KITAUMBIKA KIUMBE HAPO....KILA SIKU UPO KWENYE KITI MOTO NA BIA KITAMBI HICHO UNAPUMULA JUU JUU UKIGUSISHA TU MWICHI KWENYE KINU USHATAPIAKA UNATEGEMEA ZITAENDA SEHEMU HUSIKA ZAIDI KURUDI NJE .... HALAFU OHH UZAZI WA MPANGO hakuna lolote hamwezi kuzaaa
 
abortion zimezidi nenda pale marie stopes mwenge utakut msululj wa kina dada, mama, wakusoma wapo pale ukiona utadhani clinic kumbe wote wamekuja kusafishwa(abortion) 2004 nilishuhudi wanafunzi wa form three wameletana pale boyfriend na gf wake kaja kutoa mimba. sasa huyo akifikia umri wa kuzaa kutakuwa na kitu kweli hapo? mke wa mtu kaja toka uzuri tandale kapigwa mimba na jamaa la nje mmewe kasafiri mwanamke kasindikizwa na shosti yake kaja kutoa mimba. siku hiyo kulikuwa na wanawake takriban 25 mpaka 30 wanatoa mimba mungu tuepushe na dhahma jamaa yangu alikuwa na demu pale mlimani, alimchomoa km nne hivi mpaka demu alipomaliza chuo. na hakuoa sasa km kun Jamaa alienda oa huko nadhani atatafuta mtoto mpaka ashangae

Hii sasa imezidi duh
 
TATIZO HUWEZO WAO KITANDANI NI MDOGO HILO ULIJUE KWANZA...PILI VYAKULA VYENU MNAKULA VYA MAKOPO MKITOA MBEGU BASI NYEPESIIIII WE UNADHANI KITAUMBIKA KIUMBE HAPO....KILA SIKU UPO KWENYE KITI MOTO NA BIA KITAMBI HICHO UNAPUMULA JUU JUU UKIGUSISHA TU MWICHI KWENYE KINU USHATAPIAKA UNATEGEMEA ZITAENDA SEHEMU HUSIKA ZAIDI KURUDI NJE .... HALAFU OHH UZAZI WA MPANGO hakuna lolote hamwezi kuzaaa

Naomba uninyegeleshe tuone kama zitakuwa nyepesi tena
 
mwingine jamaa alienda kwa obama kusoma akamwachia jamaa yake amchungie mchumba wake,tehe jamaa akabinafsisha ngoma kwa miaka mitatu walizichomoa mimba nne jamaa akarudi within two yrs akaoa bila kujua rafiki yake alitafuna na kutema. ndoa ina five yrs sasa no kid! demu ana conceive ikifika miezi miwili mitatu kitu kinachoropoka. hizo ngo gharama za usista duu

Haya sasa tunasingizia uchumi tuuu
 
Back
Top Bottom