Kwa nini Dr Ulimboka alipelekwa Muhimbili?

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Wakati madaktari wakiwa kwenye mgomo baridi wa kutoa huduma ilikuwaje wakampeleka Dr Ulimboka hapo Muhimbili? Au walitaka afe kwa kukosa huduma? Au wanajua kuwa watu maalum hawataathiriwa na mgomo?
 
MH, I am a Guest!
Wenyewe watakujibu, maana mimi sijaelewa unataka ujibiwe nini.
 
Wakati madaktari wakiwa kwenye mgomo baridi wa kutoa huduma ilikuwaje wakampeleka Dr Ulimboka hapo Muhimbili? Au walitaka afe kwa kukosa huduma? Au wanajua kuwa watu maalum hawataathiriwa na mgomo?
Unaelewa maana ya emergence? wewe Umepelekwa Muhimbili ukiwa na emergence ukaacha kutibiwa? majeruhi wa ajali wakifika Muhimbili hawatibiwi? jitahidi kujiuliza masawali kabla ya kuweka umasaburi hapa.
 
jiulize kwanini walitaka kumuulia mabwepande?then ukipata jibu litakuwa ndilo jibu la swalilako
 
Wakati madaktari wakiwa kwenye mgomo baridi wa kutoa huduma ilikuwaje wakampeleka Dr Ulimboka hapo Muhimbili? Au walitaka afe kwa kukosa huduma? Au wanajua kuwa watu maalum hawataathiriwa na mgomo?
Yeye ni daktari madokta wenzake hawawezi kumuacha afe
 
ingawa ni swali la kijinga sana lakini acha tu nikujibu, hao wanao fanya mgomo ndiyo wenye uhamuzi wa kutoa huduma, hivo waliamua. acha kuendekeza ujinga utakuwa mjinga
 
maswali mengine! alipelekwa muhimbili kwa sababu muhimbili ni hospital kubwa na kuna madaktari bingwa
 
kwa hiyo unataka kutuambia mgomo wa madaktari ni kutowatibu watu wasio madaktari tu??
Ndio maana yake, jana Ulimboka alivyofika hospitali asilimia kubwa ya madokta walienda kumpokea na kuacha wagonjwa wegnine wak
 
Wakati madaktari wakiwa kwenye mgomo baridi wa kutoa huduma ilikuwaje wakampeleka Dr Ulimboka hapo Muhimbili? Au walitaka afe kwa kukosa huduma? Au wanajua kuwa watu maalum hawataathiriwa na mgomo?
Ulitaka apelekwe India?
 
Labda hujafuatilia vyombo ya habari kwani taarifa ya MOI iliyotolewa na Afisa Habari wao Jumaa Almasi siku moja kabla ya unyama aliofanyiwa Dk. Ulimboka ilisema wanapokea wagonjwa wa dharura tu kwa sasa.......na ya Dk. Ulimboka ilikuwa ni dharura licha ya pia kuwa ni jemedari wao katika kudai haki zao na za kwetu wananchi tusioweza kwenda India.
 
Watu wamejitahidi kumponda muuliza swali lakini wameshindwa kumjibu, ye anataka tu mumjibu kwa nini alipelekwa muhimbili wakati kuna mgomo? Jibuni swali la msingi, acheni kubwabwaja.

Wote mnaotetea hawa madaktari kwa kipindi hiki cha mgomo hamkuugua au hamkuwa na ndugu zenu walio mahututi, Msingetetea huu ujinga wa hawa madokta.
 
Back
Top Bottom