Kwa nini bei ya mafuta iko juu Tanzania kuliko nchi nyinge zenye bandari kweny ukanda wetu?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Ukiangalia kwenye chart hii hapa chini utagundua kuwa Tanzania inaongoza kwa bei ya mafuta ukilinganisha na nchi zingine zenye bandari:
  • Tanzania $1.23/l
  • Kenya $1.16/l
  • Mozambique $0.92/l
  • Malawi $1.13 (hawa hawana bandari)
  • Cameroun $0.92/l
  • South Africa $0.8/l
  • Ghana $0.33/l

Gasoline prices statistics - countries compared - NationMaster


Viongozi wetu wanatakiwa watupe majibu ... kwa lita moja Tanzania tunalipa Road Toll levy and Excise Duty (Mwaka 2008 VAT ilitolewa na ikawekwa Excise Duty), wakati VAT inatolewa tuliambiwa ilikuwa na lengo la kupunguza kodi wakati hapo hapo wakaweka Excise Duty kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko VAT ya awali kitu ambacho ilikuwa ni ulaghai kwa wananchi (kwa maneno mengine serikali iliwadanganya wananchi wake kuwa inapunguza kodi kwenye mafuta wakati inaiongeza)
 
Back
Top Bottom