Kwa mwenye waraka wa wafanyakazi kujichagulia chama cha wafanyakazi wautakao

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
habari zenu wakuu... Nilikuwa naomba kwa mwenye nao au mwenye uwezekano wa kuupata,. "WARAKA UNAOMRUHUSU MTUMISHI WA UMMA KUJICHAGULIA CHAMA CHA WAFANYAKAZI AKITAKACHO"..kuna wadau tunataka kubadili chama cha wafanyakazi tumedaiwa waraka ''ofisi zetu hizi zenye viongozi primitive''.. Tafadhali mwenye nao naomba aweke link, au'upload hapa au anitumie kwenye email
 
Mkuu waraka upo nadhani utawekwa na walio
kuwa nao.Hawa viongozi wetu ndiyo tatizo
unapotaka kubadili mfuko unaambiwa siyo.


Hata waajiriwa wapya baadhi ya sehemu huwa
hawapati hiyo nafasi ya kuchagua zaidi huambiwa tumekuweka mfuko ule.



N:B Nilisikia kuwa mifuko yote hukokota sawa
mafao ya uzeeni je kuna ukweli wowote hapo.
 
Mkuu waraka upo nadhani utawekwa na walio
kuwa nao.Hawa viongozi wetu ndiyo tatizo
unapotaka kubadili mfuko unaambiwa siyo.


Hata waajiriwa wapya baadhi ya sehemu huwa
hawapati hiyo nafasi ya kuchagua zaidi huambiwa tumekuweka mfuko ule.



N:B Nilisikia kuwa mifuko yote hukokota sawa
mafao ya uzeeni je kuna ukweli wowote hapo.

uko sahihi mkuu, sidhani kama mifuko yote inakokotoa viwango sawa vya pensheni... Hizi ofisi zetu kuna watu wagumu kufanya maamuzi ya msingi. ninapofanyia kuna huo mkanganyiko pia mtu amejaza mkataba na lapf anajikuta anakatwa pspf,
N:B NAZUNGUMZIA VYAMA VYA WAFANYAKAZI sio mifuko ya hifadhi ya jamii/pensheni.
 
Kwa mujibu wa Kifungu cha 61 (1) cha SAMK, mwajiri
atawajibika kukata makato ya chama kutoka katika mshahara wa
mfanyakazi endapo mfanyakazi atakuwa ameidhinisha makato hayo
kwa kujaza fomu maalumu (prescribed form), na kuyawasilisha katika
chama cha wafanyakazi alichochagua kujiunga nacho. Fomu
iliyoidhinishwa kisheria inajulikana kama TUF 6
 
Halaf c lazma kuwa mwanachama wa chama chochote cha wafanya kazi, hata hivyo kutokuwa mwanachama wa chama HAKUTA KUFANYA USIKATWE MAKATO(utakatwa kiwango cha chini kdg ya kiwango wanachokatwa wanachama halisi). kiwango hicho kinaitwa FEDHA YA UWAKALA, na itakuwa na matumizi tofauti na zile za wanachama halisi. Ni kwa mujibu wa kif 72
 
Back
Top Bottom