Kwa mwenye taarifa za uhakika tujuzeni...

Haaahaaaahhh rev
nimeipenda iyo ila naiweka maombini ikutoke uwe na matumain nao kibayay zaid ndoa za sasa nyingi zimekuwa za mavumiliano na inapofika wakati uvumilivu umefika kikomo anatokea shetan wa namna hii swali fred kaenda kwa mungu jehanum ??
 
kweli kijana mdogo sana,kumbe alioa mke aliekwishaolewa tatizo lake hakumchunguza vema.
Hivi mali ikiliwa inaisha jamani??? ina maana yy hajaonja mtu Korea??/
wivu gani huo jamani wkt mali haiishi,,,,ndio kakusaliti lkn jipe moyo kila mtu ana makosa yake. makubwa
 
acha tu masters imemgharimu maisha, halafu alikuwa anamwamini mkewe sana.Nadhani hiyo miaka miwili alokuwa Korea mkewe alikuwa ana mtu pembeni na hata baada ya marehemu kurudi bado hakuacha uzinzi wake. Kweli mwnamke hata umpe nini haridhiki.

Onyo:tuweni makini na bastola hasa unapokuw na hasira. Jamani nalia mwenzenu ofisini hakukaliki...namuona rafiki yangu Fredy all the time.

Pole ndugu lakni usilaumu kuwa mwanamke haridhiki! Jirani yangu mke alienda soma, kila jioni jamaa anaingiza mwanamke nyumbani! Uaminifu hukosekana si kwa wanawake tuu, hata wanaume pia! Inasikitisha!
 

Attachments

  • IMG-20230702-WA0021.jpg
    IMG-20230702-WA0021.jpg
    62.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom