kwa mtindo huu tutafika kweli?

con

New Member
Jan 7, 2011
3
0
mwanzo wa mwaka umeme juu,nishatu juu bado tupandishiwe nauli...haya yote tutapata maendeleo..na mishara watatuongeza au baraka za kuongoza bei ya umeme,kwani anayepata matatizo ni sisi raia wakawaida,washauri wa bwana mkubwa wako wapi...kwa mtindo huu maendeleo NO....kazi kuchapisha minoti mipya,na nyongeza za ushuru....kwa kwel tunaenda kubaya.....
 
Ugumu wa maisha utakavyozidi ndio na ujambazi utaongezeka.... hapa kama hakuna mabadiliko tuendako si pazuri
 
bado nipo nipo kwanza nabeba box,will think about it in 5 or 10yrs coming
 
mwanzo wa mwaka umeme juu,nishatu juu bado tupandishiwe nauli...haya yote tutapata maendeleo..na mishara watatuongeza au baraka za kuongoza bei ya umeme,kwani anayepata matatizo ni sisi raia wakawaida,washauri wa bwana mkubwa wako wapi...kwa mtindo huu maendeleo NO....kazi kuchapisha minoti mipya,na nyongeza za ushuru....kwa kwel tunaenda kubaya.....

Mtu mmoja alisema mkimchagua atahakikisha wanenu wanasoma bure na atashusha bei za vifaa vya ujenzi.

Mtu mwingine akasema atabadilisha Kigoma kuwa kama Dubai, atanunua babaji 400, atanunua meli kubwa huko ziwa victoria, atagawa laptop shule za msingi na sitatumia nishati ya jua (siyo umeme solar----anajua prof. Maghembe).

Za kwenu, za mbayuwayu na za kuambiwa zote mlikuwa nazo, mkachanganya pamoja, mkachagua mafisadi.

Mimi sina cha kujutia. Nilichagua mabadiliko, huku nikijua fika kuwa kama CCM wangerudi madarakani haya yote niliyatarajia. So am happy.

Acheni kulalama bwana.

Si mliona mnaula? Sasa zamu yenu. Tulieni mliwe.
 
Back
Top Bottom