Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
556
1,947
Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni

1. Ngao ya jamii ✅
2. Muungano Cup✅
3. NBC loading……
4. CRDB loading ….
5. Kibegi ✅
6. Whatsapp channel✅
7. Kuongea na Mayele kambini misri ✅
8. Mashabiki bora AFL✅
Mbumbumbu🦁 #NguvuMoya
 
Na kumsema vibaya Yanga, kushabikia
Masandawana.
 
Sisi ni Makolokolo, sisi ni Mbumbumbu, twapenda changalamacho...×2

Ni furaha kuwa umbumbumbuni...×4.
JamiiForums1683832807.jpg
 
Simba inacheza mpira wa Kiwango cha juu mnoo, imeimarika sana kuanzia safu ya YERIKO Che Malone.
Viungo punda na wenye unyumbulifu yakinifu hasa wakiwa wanakushambuli, safu ya umaliziaji hapa ukizubaa wanakukanda KIBUl Dennis.
 
Back
Top Bottom