Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.
Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi ni maskini na hununua bidhaa kidogokidogo Kila siku.mzunguko wa bidhaa ni mkubwa sana.
II)uhakika wa Kuuza bidhaa zako zote,90%bidhaa za duka utaziuza,Mali kamata ni chache sana.
III)bidhaa zinapatikana kirahisi na huhitaji kusafiri kwenda kuchagua hivyo kupunguza operational costs za
IV)Ni role model business,nchini kwetu TZ watu wengi wanaojihusisha na biashara ya duka Hali zao kiuchumi zimekuwa Bora,na baadhi matajiri wakubwa kama Mo na bahkresa wamekeza sana katika home needs goods,na wabongo wengi wametajirika,utasikia mtu ana 5 bill,anasemi 5 biashara yake ni duka.
V)Hutakiwi kuwa na mtaji mkubwa sana kuanza,unaweza kuanza na mtaji mdogo ukaukuza taratibu mfano laki Tano inatosha kuanza na bidhaa mhimu kama sukari,chumvi,mafuta kula,sabuni n.k ukiwa na nidhamu mtaji utajua na unaweza kuaminika ukakopesheka pia.
VI)Faida yake ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zingine,faida hii inatokana na mauzo ukilinganisha na muda,mfano muuzaji wa magari Kwa mwezi mzima anaweza kuuza magari 5 na akapata faida ya 5mill @ car Kwa mwezi akatengeza faida ya 25 mill,muuzaji wa duka anaweza akawa anauza 20mill Kwa siku na faida ni 5% =1000000 so Kwa mwezi akapata 30 mil.
VII)Ni biashara inayokubali kuongeza biashara nyingine ndani yake kama vile uwakala wa benki,kutoka na kupokea fedha Kwa njia ya simu n.k
USHUHUDA: Mwaka 2017 mimi nilianza biashara ya duka Kwa mtaji wa 250000 Leo hii 2023 si haba nimepiga hatua kwani mtaji wangu ni almost 50 mill, nimejenga Nina kapikipiki na maisha yanaenda. I dream siku Moja niwe mfanyabiashara kubwa, hii ni biashara Bora.
Vijana tuache dharau, tusikariri maeneo ya kuishi kwani Kuna fursa nyingi kwenye miji midogo.