Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi UDSM?

Yeah ni kweli.... but nyumbani nashauriwa nisome kitu ambacho soon after graduating napata kazi...so dat why nataka nisikie kutoka kwa wadau humu coz kuna educated people in this forum....
Teh,hao wazaz wanakushauri hv kweli? Kitabu cha Robert Kiyosaki(Rich dad and poor Dad kinawahusu saana)
 
Unamaanisha nini????
Ninamaanisha kwamba, piga education walah utaona, kupata kazi ya uwalimu Rwanda na Burundi haitakua tabu, pia kuna fursa huko USA kwa wanafunzi na walimu wenye degree ya kwanza walio tayari kufundisha kiswahili kwenye vyuo vya kwao USA kwa malipo ya kusomeshwa bure degree ya pili....
Nimekutafunia vya kutosha now meza mwenyewe sasa.
 
Ukisoma BAE utapata mkopo ila unaweza usiwe 100% ,ila kuna vigezo vingne kama wewe ni yatima au una mzazi mmoja,wazazi wako ni walemavu ,wewe ni mlemavu vitafanya upatiwe mkopo . Na unaweza kuangalia course nyingne kama LLB,JOURNALISM, MASS COMMUNICATION,zote hizo ziko UDSM. Kuna course nyingi sana kama utojali ni pm namba yako nikutumie guide book ya mwaka jana ili uangalie course nyingine tofauti tofauti.
Kwa Hiyo ID yako nafikiri akikuPM namba yake tu AMEKWISHA..!
 
soma hiyohiyo education u opt kiswahili na literature au political science na linguistic maana BAED haimaniishi utakuwa mwl. tu kuna means nyingi ...na ukitusua GPA plus kuchangamka kwako waweza pata nafasi vyuo vikuu....! got me?
 
Nafasi utapata! Tatizo educ kwa sasa haina future! Nenda kozi za maana kama ulizoshauriwa na wadau hapo juu! Congratulation kwa div yako 1.8 katie msuli hivyohivyo! Hata kama educ ni hobby yako basi katie msuli ubaki chuo kama lecturer!!
Ahsante sana kwa ushauri....nitaufanyia kazi...
 
Ninamaanisha kwamba, piga education walah utaona, kupata kazi ya uwalimu Rwanda na Burundi haitakua tabu, pia kuna fursa huko USA kwa wanafunzi na walimu wenye degree ya kwanza walio tayari kufundisha kiswahili kwenye vyuo vya kwao USA kwa malipo ya kusomeshwa bure degree ya pili....
Nimekutafunia vya kutosha now meza mwenyewe sasa.
Nashukuru sana jaman daaah it is true for sure let me take education
 
soma hiyohiyo education u opt kiswahili na literature au political science na linguistic maana BAED haimaniishi utakuwa mwl. tu kuna means nyingi ...na ukitusua GPA plus kuchangamka kwako waweza pata nafasi vyuo vikuu....! got me?
Thanks much mkubwa nimekuelewa yaniiii naenda education
 
Soma kile unapenda ajira ni majaliwa ukiwa mzuri utapata tu hata kama itabidi usubiri. Kwa nchi kama hii kutabiri miaka 3-4 ijayo si rahisi lakini uchumi ukikua fursa huongezeka. Tunazaliana na watoto lazima wa some -uki excel kwenye kingereza kwa mfano huwezi kosa kazi.
 
Nivema ukatafakari pia 2019 utakapokuwa unamaliza elimu yako kama bado serikali itakuwa inaajiri walimu wa sanaa. Ikiwa sasa dalili zaonesha ajira hizo kuelekea ukingoni.
 
Mambo wanajamvi.. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu...nilisoma HKL..nimepata division one ya point nane.. tafadhari naomba kujua je nitaweza kupata nafasi UDSM Na je nitaweza kupata mkopo asilimia ngp...malengo yangu ni kusomea bachelor of arts with education.... msaada please wanajamvi...
Unapata na utapewa mkopo kabisa maana umekidhi vigezo vya ndalichako na wewe ni wale wanafunzi ambao JPM ana wahitaji!

Siwezi kuku hakikishia utapata mkopo asilimia ngapi maana mkopo unavigezo vingi sana ukiacha ufaulu mzuri pamoja na priority course! Pamoja na course unayo kwenda siyo priority lakini mkopo utapata kama ulisoma shule za serikali!

Naona DUCE pana kuhitaji!

Hongera kwa ufaulu mzuri!
Hongera sana ...
 
Nivema ukatafakari pia 2019 utakapokuwa unamaliza elimu yako kama bado serikali itakuwa inaajiri walimu wa sanaa. Ikiwa sasa dalili zaonesha ajira hizo kuelekea ukingoni.
Kwa masomo yake bora asome tuu Education maana pamoja na mahitaji ya masomo ya sayansi lakini still kuna mahitaji ya walimu wa masomo ya sanaa!
 
Back
Top Bottom