Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi UDSM?

Kama ulikuwa unataka ajira isiyotetereka ungesoma sayansi na tungekukaribisha kwenye fani zisizo na bla bla kwenye ajira kama Electrical Eng, Mechanical, na Civil..ila kwa mchepuko wako mama nenda tu education ukakomae! kama ipo ipo tu fuata kitu roho yako inapenda
 
Hivi kufungua e mail siku hizi kuna gharama? Ila its ok. You will get help and advice from others as well. Wish you all the best.
huyu ni mtoto kamaliza tu shule juzi mambo haya ya e-mail huenda hayafahamu sana so punguza mihemko! ila nimependa ulivyomalizia....
 
tafuta kitu moja inaitwa law enforcement mjini UDSM ONLY then ukipata mkopo upo mdogo wangu uje kunishukuru
 
hakuna mtu anaependa ualimu bali ni njaa tu na hio education kwa masomo yko haina future yyte education mostly wanaenda waliofeli acha kuichezea iyo div one yko ebu apply public administration MZUMBE au LAW udsm au human resources MZUMBE AU UDSM Achana na takataka hzo education utakufa maskini vijijini uko
 
Kama una weza tafuta kitabu cha RICH DADY, POOR DADY kisome then ukimaliza utajua ni nini una stahili kusomea, wengi tunaamin ukimaliza shule tu unaajiriwa lakini ni tofauti...... we soma kwanza then ukimaliza ndo angalia swala la ajira
Ha ha ha asisahau sana kumzingatia RICH DADY
 
Tatizo la Ualimu mshahara Mdogo Mazingira ya Kaz NATO aise kama unataka soma uje Ufundishe Private schools au Vyuo vya Diploma hyo LLB pia ina changamoto zake kupata ajira ila ukipata ndo umewin
 
hakuna mtu anaependa ualimu bali ni njaa tu na hio education kwa masomo yko haina future yyte education mostly wanaenda waliofeli acha kuichezea iyo div one yko ebu apply public administration MZUMBE au LAW udsm au human resources MZUMBE AU UDSM Achana na takataka hzo education utakufa maskini vijijini uko
Mimi napenda ualimu,pia UDSM wanaosomea ualimu ni division one tu,hivyo ni kawaida sio kweli kuwa walimu wamefeli acha kupotosha.
Ni katika kupambana na maisha.
 
Tatizo la Ualimu mshahara Mdogo Mazingira ya Kaz NATO aise kama unataka soma uje Ufundishe Private schools au Vyuo vya Diploma hyo LLB pia ina changamoto zake kupata ajira ila ukipata ndo umewin
Mshahara mdogo ni kuanzia Tsh ngapi,mimi ni mwalimu mshahara sio mdogo na nina maisha mazuri hapa Dar.
Hata viwango vya mishahara wengi hawajui wamekalia kusema midogo wakiulizwa ni Tsh ngapi wanajibu mshahara ambao sijawahi hata kupokea.
Pia ni kada ipi unapata mteremko.
 
Back
Top Bottom