Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

Huyu apewe kampani mwekeni bussy na thread mtakua mmemwokoa sana bado masaa 3 nahisi anaweza asitoboe wanaume tunajijua na hs anamwona kalala.
Ameisha kimbia mkuu, atakuwa kamuamusha mwenzie sasa wako kwenye marumbano.

Ila cha msingi alisha chapa cha kuletewa kabla hawajalala na ndo kitakuwa cha mwisho kwa huu muda wa karibuni hadi huu mgogoro upate suluhu.
 
Unasema anakusaliti na zaidi ya wanaume wa 5 na hao wenzako kila mmoja nae anasema anasalitiwa na wanaume zaidi ya watano

Usijipe uhalali hata wenzako nao wakikugunda wataenda sehemu kuomba ushauri kuwa na wao wanasalitiwa.

Kahaba hafanyi usaliti ila yupo kazini hiyo ndo biashara yake.
 
Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:-

1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane"

2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi wamelana, miongoni mwa text ni yeye mwanamke akimuelekeza uyo jamaa kituo cha kushuka, kisha kuna text anamuomba avumilie bibie ataenda kupikachakula soon. inaonekana jamaa alifika huyu mwanamke akiwa mbali, labda anafunguo au aliegeshewa mlango ili akija aingie.
Kuna text za karibuni February 20 za mwanamke akiomba akutane na jamaa, jamaa akasema ndo ametoka kazini amechoka siku nyingine.

3. Huyu anaonekana wanasoma wote, jamaa anaonekana alimjibu mwanamke mwengine kwenye kundi la chuo ki romantic, so huyu mwandani wangu mimi ndo analalamika kwanini anafanyiwa vile.
Kwenye whatsApp nimeona kuna picha ya chupi ambayo jamaa amereply ila bibie aliifuta.

4. Huyu inaonekana hawajawasiliana kwa muda mana text zao ni za kulaumiana kua kila mmoja hajali shida za mwenzake

5. Huyu pia anaonekana ni classmate, lakini text nilizokuta ni za mwanamke wangu akimwambia huyo jamaa wasitishe mapenzi mana yatawaletea uadui

6. Huyu jamaa anaonekana anatokea mkoa wa mbali, mana wameanza kuwasiliana kua ameshapanda basi na atafika usiku sana, text za mbeleni ni mwanamke anaonekana mchana alitoka kwenda darasani na kumuacha jamaa ndani, hivyo ametuma kua jamaa ajisikie " comfortable"

7. Huyu jamaa amepiga haipokelewi, hajui kua mwenzie yuko huku, text za mwisho za jamaa ni yeye kuomba wasitishe mahusiano mana anapata wasiwasi kua anaoiga simu usiku na mwanamke hapokei.

Pamoja na hayo, kwenye hidden album nimekuta picha alizopiga na wanaume wawili,

Mmoja wamepiga self, mwanaume akimbusu mwanake, wanaonekana wako chumbani ila wako na nguo zao, sijui ni baada ya game au vipi.

Picha ya mwanume wa pili mwanamke haonekani ila inaonesha wapo chumbani, jamaa yuko na bukta tu hana shati, na mwanamke ni kama kajifunika shuka mana inaonekana miguu yake tu.

Kuna tiketi mbili, moja ya kwenda tanga, na nyingine ni ya kilimanjaro.

Kuna picha nyingine tatu za kiuno, sijui ni nani alitumiwa. Hizi conversations zote ni za 2024, imagine?

Hapa amelala, nimerudisha simu kama ilivyokua. Sina kinyongo wala sina mpango wa kumdhuru mtu.
Mwanamke wa hvyo inamana keshajizila maisha yake na anafanya ukahaba..hebu mpime huyo huenda anawaambukiza maradh makusud kwa hasira .mtu unakuaje na watu wote hao zaid ya 7...
 
Naweza sema ni mke, tumeishi wote kabla ya mambo ya masomo, ngazi za chini mimi ndo nimemsomesha, wazazi wananijua. Kifupi nilishakabidhiwa na wazazi wake muda mrefu.
Tatizo vijana mapenzi yanawasumbua sana, oeni acheni uzinzi mtu anaongea anasalitiwa utafikiri ni mkeo huna aki ya kisheria kumsema chochote unamlalamikia mtu hata uchumba nae huna!
 
Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:-

1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane"

2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi wamelana, miongoni mwa text ni yeye mwanamke akimuelekeza uyo jamaa kituo cha kushuka, kisha kuna text anamuomba avumilie bibie ataenda kupikachakula soon. inaonekana jamaa alifika huyu mwanamke akiwa mbali, labda anafunguo au aliegeshewa mlango ili akija aingie.
Kuna text za karibuni February 20 za mwanamke akiomba akutane na jamaa, jamaa akasema ndo ametoka kazini amechoka siku nyingine.

3. Huyu anaonekana wanasoma wote, jamaa anaonekana alimjibu mwanamke mwengine kwenye kundi la chuo ki romantic, so huyu mwandani wangu mimi ndo analalamika kwanini anafanyiwa vile.
Kwenye whatsApp nimeona kuna picha ya chupi ambayo jamaa amereply ila bibie aliifuta.

4. Huyu inaonekana hawajawasiliana kwa muda mana text zao ni za kulaumiana kua kila mmoja hajali shida za mwenzake

5. Huyu pia anaonekana ni classmate, lakini text nilizokuta ni za mwanamke wangu akimwambia huyo jamaa wasitishe mapenzi mana yatawaletea uadui

6. Huyu jamaa anaonekana anatokea mkoa wa mbali, mana wameanza kuwasiliana kua ameshapanda basi na atafika usiku sana, text za mbeleni ni mwanamke anaonekana mchana alitoka kwenda darasani na kumuacha jamaa ndani, hivyo ametuma kua jamaa ajisikie " comfortable"

7. Huyu jamaa amepiga haipokelewi, hajui kua mwenzie yuko huku, text za mwisho za jamaa ni yeye kuomba wasitishe mahusiano mana anapata wasiwasi kua anaoiga simu usiku na mwanamke hapokei.

Pamoja na hayo, kwenye hidden album nimekuta picha alizopiga na wanaume wawili,

Mmoja wamepiga self, mwanaume akimbusu mwanake, wanaonekana wako chumbani ila wako na nguo zao, sijui ni baada ya game au vipi.

Picha ya mwanume wa pili mwanamke haonekani ila inaonesha wapo chumbani, jamaa yuko na bukta tu hana shati, na mwanamke ni kama kajifunika shuka mana inaonekana miguu yake tu.

Kuna tiketi mbili, moja ya kwenda tanga, na nyingine ni ya kilimanjaro.

Kuna picha nyingine tatu za kiuno, sijui ni nani alitumiwa. Hizi conversations zote ni za 2024, imagine?

Hapa amelala, nimerudisha simu kama ilivyokua. Sina kinyongo wala sina mpango wa kumdhuru mtu.
She belongs to the street
 
Tatizo vijana mapenzi yanawasumbua sana, oeni acheni uzinzi mtu anaongea anasalitiwa utafikiri ni mkeo huna aki ya kisheria kumsema chochote unamlalamikia mtu hata uchumba nae huna!

Kwahiyo angemuoa ndio angeachana na hao wanaume wengine?? Mal*ya ni mal*ya tuu hata akiwa mke wa ndoa na hata ukishamuoa ukawa na haki nae kisheria itakusaidia nini baada ya kujua ni mal*ya??

#KATAANDOA
 
Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:-

1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane"

2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi wamelana, miongoni mwa text ni yeye mwanamke akimuelekeza uyo jamaa kituo cha kushuka, kisha kuna text anamuomba avumilie bibie ataenda kupikachakula soon. inaonekana jamaa alifika huyu mwanamke akiwa mbali, labda anafunguo au aliegeshewa mlango ili akija aingie.
Kuna text za karibuni February 20 za mwanamke akiomba akutane na jamaa, jamaa akasema ndo ametoka kazini amechoka siku nyingine.

3. Huyu anaonekana wanasoma wote, jamaa anaonekana alimjibu mwanamke mwengine kwenye kundi la chuo ki romantic, so huyu mwandani wangu mimi ndo analalamika kwanini anafanyiwa vile.
Kwenye whatsApp nimeona kuna picha ya chupi ambayo jamaa amereply ila bibie aliifuta.

4. Huyu inaonekana hawajawasiliana kwa muda mana text zao ni za kulaumiana kua kila mmoja hajali shida za mwenzake

5. Huyu pia anaonekana ni classmate, lakini text nilizokuta ni za mwanamke wangu akimwambia huyo jamaa wasitishe mapenzi mana yatawaletea uadui

6. Huyu jamaa anaonekana anatokea mkoa wa mbali, mana wameanza kuwasiliana kua ameshapanda basi na atafika usiku sana, text za mbeleni ni mwanamke anaonekana mchana alitoka kwenda darasani na kumuacha jamaa ndani, hivyo ametuma kua jamaa ajisikie " comfortable"

7. Huyu jamaa amepiga haipokelewi, hajui kua mwenzie yuko huku, text za mwisho za jamaa ni yeye kuomba wasitishe mahusiano mana anapata wasiwasi kua anaoiga simu usiku na mwanamke hapokei.

Pamoja na hayo, kwenye hidden album nimekuta picha alizopiga na wanaume wawili,

Mmoja wamepiga self, mwanaume akimbusu mwanake, wanaonekana wako chumbani ila wako na nguo zao, sijui ni baada ya game au vipi.

Picha ya mwanume wa pili mwanamke haonekani ila inaonesha wapo chumbani, jamaa yuko na bukta tu hana shati, na mwanamke ni kama kajifunika shuka mana inaonekana miguu yake tu.

Kuna tiketi mbili, moja ya kwenda tanga, na nyingine ni ya kilimanjaro.

Kuna picha nyingine tatu za kiuno, sijui ni nani alitumiwa. Hizi conversations zote ni za 2024, imagine?

Hapa amelala, nimerudisha simu kama ilivyokua. Sina kinyongo wala sina mpango wa kumdhuru mtu.
kwahiyo umefanikiwa kuugulibisha moyo wako kwa cm ya mwandani wako 🐒

haitakusaidia itakughilibisha zaidi kiakili na kiroho, umeamua kuitikisa Imani na Amani ya Moyo wako mwenyewe 🐒

Itakusumbua kidogo, utapata tabu sana kurejesha utulivu nafsini mwako, upendo na uaminifu wa dhati dhidi ya mwandani wako umeuweka mashakani 🐒

akijua umefanya upekuzi au udukuzi wa cm yake utakua umewasha moto zaidi. Ni kubaya mbaya ni miongoni mwa vita kali na mbaya sana za kisakolojia kwa wapendanao 🐒

unalo Jambo moja tu kukusaidia ahuweni. Kumweleze bayana unacho hisi kiungwana na upendo kwamba aachane na tabia hiyo mbaya, lakini pia epuka kuchungulia cm ya mwenzi wako ni hatari kwa afya, ya akili, mwili na Roho...
 
Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:-

1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane"

2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi wamelana, miongoni mwa text ni yeye mwanamke akimuelekeza uyo jamaa kituo cha kushuka, kisha kuna text anamuomba avumilie bibie ataenda kupikachakula soon. inaonekana jamaa alifika huyu mwanamke akiwa mbali, labda anafunguo au aliegeshewa mlango ili akija aingie.
Kuna text za karibuni February 20 za mwanamke akiomba akutane na jamaa, jamaa akasema ndo ametoka kazini amechoka siku nyingine.

3. Huyu anaonekana wanasoma wote, jamaa anaonekana alimjibu mwanamke mwengine kwenye kundi la chuo ki romantic, so huyu mwandani wangu mimi ndo analalamika kwanini anafanyiwa vile.
Kwenye whatsApp nimeona kuna picha ya chupi ambayo jamaa amereply ila bibie aliifuta.

4. Huyu inaonekana hawajawasiliana kwa muda mana text zao ni za kulaumiana kua kila mmoja hajali shida za mwenzake

5. Huyu pia anaonekana ni classmate, lakini text nilizokuta ni za mwanamke wangu akimwambia huyo jamaa wasitishe mapenzi mana yatawaletea uadui

6. Huyu jamaa anaonekana anatokea mkoa wa mbali, mana wameanza kuwasiliana kua ameshapanda basi na atafika usiku sana, text za mbeleni ni mwanamke anaonekana mchana alitoka kwenda darasani na kumuacha jamaa ndani, hivyo ametuma kua jamaa ajisikie " comfortable"

7. Huyu jamaa amepiga haipokelewi, hajui kua mwenzie yuko huku, text za mwisho za jamaa ni yeye kuomba wasitishe mahusiano mana anapata wasiwasi kua anaoiga simu usiku na mwanamke hapokei.

Pamoja na hayo, kwenye hidden album nimekuta picha alizopiga na wanaume wawili,

Mmoja wamepiga self, mwanaume akimbusu mwanake, wanaonekana wako chumbani ila wako na nguo zao, sijui ni baada ya game au vipi.

Picha ya mwanume wa pili mwanamke haonekani ila inaonesha wapo chumbani, jamaa yuko na bukta tu hana shati, na mwanamke ni kama kajifunika shuka mana inaonekana miguu yake tu.

Kuna tiketi mbili, moja ya kwenda tanga, na nyingine ni ya kilimanjaro.

Kuna picha nyingine tatu za kiuno, sijui ni nani alitumiwa. Hizi conversations zote ni za 2024, imagine?

Hapa amelala, nimerudisha simu kama ilivyokua. Sina kinyongo wala sina mpango wa kumdhuru mtu.
Asubuhi ukiamka toa bill ya meza kisha tokomea kusikojulikana.
 
Otherwise Ufanye tuu maamuzi, huhitaji mjadala naye,
Kinyume na hapo Sijui utapata chance ya kushika hio simu tenaa, Unge screenshot kila kitu, unajitumia, una clear kila kitu...

Huyo blv me atakuruka, huko kwa wazazi unaosema wamekukabidhi, binti yao aonekane malaika wewe shetani..

Ila mwisho wa siku jambo hilo hufanyi maamuzi kufurahisha/ridhisha mtu.
 
Back
Top Bottom