chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,293
- 21,098
Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru