Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,496
- 37,789
Hii ni habari njema Kwa Wananchi wanyonge wa Tanzania. Baada ya pato la Kila mwananchi kuongezeka serikali imekuja na bajeti inayoinua maisha ya watoto wa masikini.
Mfano mzuri unaoonyesha bajeti hii imejali watoto ni kupandishwa Kodi ya taulo/nepi/dipers toka 25% hadi 35% Kwa watoto wa matajiri ila watoto wa masikini wanaofungwa Visepe (vipande vya kanga za zamani) hawaguswi na Kodi hii.