Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

tuzo naitaji chumba kimoja self mbezi beach maeneo ya shamo au tank bovu kisiwe uswazi maana kumbe huku mbezi beach kuna uswazi bna hadi gongo inauzwa nilidhani ni matawi tu kweli tembea uone
budget laki moja kwa mwezi
 
Mkuu natafuta .. Mbezi kw mia na nusu ndo vinakua bomba zaidi, japo hata kwa bei hiyo tunaweza kupata nicheki tu kwa namba yangu kma upo serious
 
Wanao tafuta nyumba za kupanga nyumba za kununua viwanja maeneo ya bunju, mbweni, boko, tegeta, mbezi, mapinga, na mbweni mpiji....viwanja tunavyo vingi njooni mjenge huku mji umekuwa sana kwa sasa watu wote wanakimbilia huku....for more contact call 0712464777
 
Napata nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili,sebule,jiko na choo cha ndani kwa maeneo ya kuanzia kimara hadi Kibaha au maeneo ya mtoni kijichi .yawe karibu na Barabara,umeme,maji na iwe imezungushiwa ukuta
 
Napata nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili,sebule,jiko na choo cha ndani kwa maeneo ya kuanzia kimara hadi Kibaha au maeneo ya mtoni kijichi .yawe karibu na Barabara,umeme,maji na iwe imezungushiwa ukuta
vipo mkuu nicheki kwa 0713415537
 
Mm nataka chumba kimoja mitàa ya kimara au mabibo cha kuanzia 40 mpk 50 miez 6 tu kiwe ndani lkn
 
Kama unahitaji nyumba maeneo hayo ya chumba au nyumba ya kuanzia chumba na sebule au kuanzia vyumba viwili na kuendelea usisite kunitafuta, maeneo ni hayo ya mwenge,sinza,kijitonyama, na mbezi tangi bovu mpaka makonde na makongo juu pia namba ni 0713415537
Mbezi vyumba viwili vya kulala self na jiko bei Ake ikojee
 
Back
Top Bottom