Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

Siyo fitina, hiyo ni biashara kama biashara nyingine, tukiondoa uzembe wa selekali ya ccm, hata nyie mlitakiwa kulipa kodi na kuwajibika kutoa taarifa za kiusalama pale inapo bidi kwani kazi zenu zinahusika.
Mkuu wewe unalipa kodi zote?
 
Karibuni mwenge nina nyumba ya 300k na ya 400k,ya 600K na ya 1M, karibuni sana
 
Nahitaji nyumba viwili Mwenge viwe na choo ya kujitegemea na kodi isizidi laki na ishirini
 
Ulivyonavyo bei yake sh ngapi (kiwango cha chini sh ngapi)
200k mkuu maeneo ya soccer city, ila mbezi maeneo ya tangi bovi na makonde vipo vya 150k, mwenge mitaa yaTRA kuna za 200k na 250k,
 
200k mkuu maeneo ya soccer city, ila mbezi maeneo ya tangi bovi na makonde vipo vya 150k, mwenge mitaa yaTRA kuna za 200k na 250k,
Hiyo ya 200k ikoje??
details zake zikoje??
 
Back
Top Bottom