hivi kwa nini pale uhusiano unapovunjika hawa wenzetu hukimbilia kutoa kauli hii:
"............kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...".
Na kama kanitongoza yeye na sio chaguo langu, hapo inaonekana kuna kitu anakitaka kutoka kwangu, inabidi nimpe ANACHOKITAKA then kila mtu aendelee na hamsini zake. sasa hapo ndio wenzetu wanaanza kulalamika!!Kuna ukweli lakini:-
Kwahiyo tunaweza kusema unamuacha sababu ulivyofikiria sivyo au umechoka unataka pengine, au ameanza kukuboa
- Je ulichokuwa unakitaka haujakipata?
- Na kama ulichokuwa unakitaka umekikuta kama ulivyokitaka kwanini umuache?
Na yeye akikuacha unatakiwa umwambie hivyohivyo...
Na yeye akikuacha unatakiwa umwambie hivyohivyo...
Na kama kanitongoza yeye na sio chaguo langu, hapo inaonekana kuna kitu anakitaka kutoka kwangu, inabidi nimpe ANACHOKITAKA then kila mtu aendelee na hamsini zake. sasa hapo ndio wenzetu wanaanza kulalamika!!
Mmmh!! Sisi huwa tunaugulia maumivu kimyakimya...
Kinachoulizwa ni kwamba na wewe si umemtumia mwenzio?? unadhani kwa hiyo miaka 2 wewe hujamtumia mwenzio..ni issue ya chaki na ubao..hebu fungua macho..Mmmh, nyie viumbe wa kiume bwana, hata mimi ukinitongoza halafu nikikubali kwa moyo wangu wote, tena ukanibadilikia,
Lazima nikuulize ulichokuwa unakitaka umehakipata?
Kwa maana umekipata na umefanikiwa kwa kiwango ulichokusudia sasa umeamua kunimwaga. Ok Fine.....
Kama ni mimi nimekutongoza nikiona nilichokita huna, nakuambia tu, bwana eeh nilidhani waweza kuwa so and so, lakini naona haitakuwa hivyo....
So nisamehe kwa yote, tukae kwa amani. Kama nilichokitaka nimekipata na wewe kiumbe wa kiume umeridhika na hayo matakwa yangu, maisha yanaendelea.
Sasa nyie mnamtumia mtu, akili hadi na damu yake, unampotezea muda msichana wa watu halafu unamkimbia unadhani nini? Hujui mwaka mmoja wa mtoto wa kike una maana kubwa sana kwenye swala la mahusiano?
Niko na wewe nikiwa na miaka say 27, baada ya miaka 2 nina miaka 28, halafu unitupa kule.............Mmmmh ndo hapa unatamani hata kuchinja mtu.
Ahahahaah!! Si hivyo mkuu, juzi nilikuwa nasuluhisha ishu ya rafiki yangu na mpenzi wake, bibie muda wote analalamika tu, "amepata alichokuwa anakitaka", mara "kanichezea".Katavi bwana umeshikwa penyewunae nini? hahaha hommie kumbe waga unataka ile kitu tu? Wengine tukiacha tunabadili na makao hata contacts zote change kabisa.....
Kweli mkuu kama ni kuchezeana na kutumiana, wote tumefanyiana hivyo. Inakuwaje upande mmoja ndio unaonekana umeonewa?Kinachoulizwa ni kwamba na wewe si umemtumia mwenzio?? unadhani kwa hiyo miaka 2 wewe hujamtumia mwenzio..ni issue ya chaki na ubao..hebu fungua macho..
ukiona hivyo ujue huyo mtu hajiaminiHivi kwa nini pale uhusiano unapovunjika hawa wenzetu hukimbilia kutoa kauli hii:
"............kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...".