Elections 2010 Kwa kuviita vyama vya upinzani ni vya musimu na "photocopy", JK siyo mkweli..........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Vyama vyote vya siasa ni vyetu na JK anapodai ni vya musimu siyo mkweli kwa sababu anamaanisha John Tendwa anavibeba wakati kamisaa huyu wa vyama vya siasa ni mteule wake. Kama Tendwa anashindwa kutekeleza majukumu yake inakuwaje JK hajamuoondoa..............Hii yamaanisha pia JK naye ni mzembe pia kwa kushindwa kumchukulia Tendwa hatua.........

Kwa kuvinyanyapaa vyama vya upinzani kuwa ni "photocopy" JK anamwaga pumba zake hadharani. Swali la msingi ambalo wapigakura inapaswa tumuulize ni kuwa ni kwa nini ni wakati wa uchaguzi tu ndiyo amegundua ni "photocopy" mbona kabla ya hapo hatujamsikia akiviponda hivyo?

Halafu hata kama ni "photocopy" tusipovipigia kura nyingi za ndiyo ni lini vitajifunza kutembea na kutokuwa "photocopy"?

Yaani JK kwa janja ya nyani anataka tusahahu CCM kwa dhuluma inayotufanyia kwa miaka nenda rudi kwa kutuuzia hoja ambazo hata darasa hazijaenda.

LOOO........SAFARI HII TUNASEMA HATUDANGANYIKI........CHAGUA DR. SLAA...CHAGUA CHADEMA...............................
 
Mkuu kama jana uliangalia Dr.Slaa alipohojiwa ITV naamini utakubaliana nami kuwa JK kama kiongozi level yake ni Distric officer(DC) hapo alipo yupo kisanii tu.
 
Back
Top Bottom