Kwa jinsi hali ilivyo Tripoli, CHADEMA acheni maandamano

unaongea kama nani?wewe na nani?nchi siyo ya kwenu pekee,taratibu na kauli zenu!kama ni amani ya mafisadi nina uhakika machalii wa A town watakua tayari kuiharibu endeleeni na chokochoko tu.taratiiiiiiiiiiiiiibu watanzania washaanza kuzoea suluba with time watasema basi kitakachofuata ni kibaya kuliko kile kilichotokea libya.

Unaota! Huijui Tanzania unaisikia tuu kwenye bomba!

Mmh! Hawa chadema baana hv b4 2010 walikuwepo wapi mbona CUF walikuwa na hizi harakati zimeishia wapi?
Mkuu ulianzisha thread unachosema is right kabisa bt kwakweli we need changes ila nasikitika bado hakuna watu wenye strategy za maana kufanya mageuzi yatakayo badilisha maisha ya nchini kwetu

Magwanda hawana uwezo tutahakikisha tunawasuilubu kila wanapojaribu kutuchafulia amani yetu. Kama walivyofanywa Arusha na watakapojaribu tena itakuwa ni mara 100 ya ile.
kitimwaa2.JPG
chagua mmoja hapa umsulubu.

Watu wasio na hatia wanauawa ovyo jijini Tripoli. Chanzo cha haya yote ni maandamano yaliyoanza takribani miezi sita iliyopita.

CHADEMA wajifunze kutokana na maafa yanayoikumba Libya hivi sasa. Amani imetoweka, na kila kona ya nchi ni shida tupu. Raia wa kigeni, hasa waafrika wanauawa kwa kisingizio kwamba, eti walikuwa ni sehemu ya majeshi ya kukodiwa ya Ghadafi.

Hapa nchini Tanzania, endapo maandamano ya CHADEMA yatashika kasi, raia wenye asili ya kihindi ambao wanahusishwa zaidi na chama tawala, huenda wakaja kuwa wahanga wakubwa wa ghasia zitakazotokana na maandamano hayo.

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 9th August 2011
Posts : 77
Rep Power : 21

Huwa naangalia na mtu wa kumjibu. Si kila mtu anafaa kujibiwa kwa jambo analolisema.

Samahani nataka kujua, hv wahndi wana haki sana kuliko sie wandengereko? Then why uogope kufa kwao wakati hata sie twafa tena sio kwa machafuko ya kisiasa bali kwa njaa, maradhi na tabu tele za kisaikolojia? Km kweli unawaza positively, then tupeni haki zetu hatutaandamana. Zaidi cdm hawajaivuruga amani au u2livu ya nch hii bali nyie ccm mmekwiba vyote. Tel me ntakuwaje na amani wakati nina njaa, cna ajira, wazazi maskini, maisha yanakuwa magumu kila dakika? Hv CDM ndio wameleta ugumu wa maisha? NIKIZIPATA BUNDUKI...MAFISADI MTAKOMA...JK UR MAKING ME SICK...NATAMANI HADI KUKU..... Aagghrr!

• Thanks
Reactions: Ame
Magwanda hawana uwezo tutahakikisha tunawasuilubu kila wanapojaribu kutuchafulia amani yetu. Kama walivyofanywa Arusha na watakapojaribu tena itakuwa ni mara 100 ya ile.

NATO watawashukia tu, kwani hata hapa Bongo kuna ka Uranium!!!

Bora
vita vinavyo tafuta
haki kuliko amani
inayo dhalilisha utu
wa mwanadamu amka
mtanzania

Tanzania tofauti la Libya. MAmbo yakianza hapo bongo hakuna mwanajeshi atakuwa nyuma ya kikwete wala ccm. Chama cha dhuluma, wakwapuaji, wadhulumati.

Watu wasio na hatia wanauawa ovyo jijini Tripoli. Chanzo cha haya yote ni maandamano yaliyoanza takribani miezi sita iliyopita.

CHADEMA wajifunze kutokana na maafa yanayoikumba Libya hivi sasa. Amani imetoweka, na kila kona ya nchi ni shida tupu. Raia wa kigeni, hasa waafrika wanauawa kwa kisingizio kwamba, eti walikuwa ni sehemu ya majeshi ya kukodiwa ya Ghadafi.

Hapa nchini Tanzania, endapo maandamano ya CHADEMA yatashika kasi, raia wenye asili ya kihindi ambao wanahusishwa zaidi na chama tawala, huenda wakaja kuwa wahanga wakubwa wa ghasia zitakazotokana na maandamano hayo.

mkuu umesikika ila kuanzia leo usilalamike serikali yako wala usilaumu kutokana na matatizo ya sio kuwa na msingi na mwisho usichangie uzi zote zinazoilaumu serikali sawa mkuu

kuanzia sasa nenda MMU,JOKES na MK.

Magwanda hawana uwezo tutahakikisha tunawasuilubu kila wanapojaribu kutuchafulia amani yetu. Kama walivyofanywa Arusha na watakapojaribu tena itakuwa ni mara 100 ya ile.

Duniani hakuna haki itolewayo kama sadaka ni lazima jasho litoke na hakuna inchi ilipata uhuru wa mezani....usiogope lazima tutaandamana na nyie " The Comedy" hamna haki ya kutuzuia

Magwanda hawana uwezo tutahakikisha tunawasuilubu kila wanapojaribu kutuchafulia amani yetu. Kama walivyofanywa Arusha na watakapojaribu tena itakuwa ni mara 100 ya ile.

weye bibi unatumia nyenzo gani kufikiri! kigagula nini! si ukae huko uwani upike ubwabwa? wewe huoni hata wanao hatarisha utulivu ni ccm? huoni wanaokufa sanda kiroba, watoto wanaokalia mawe darasani, wastaafu wanaonyimwa stahili zao........, wengine... Mungu hayupo na wewe uko mtupu. wewe wewe ni baradhukí mkubwa. bila mate utashughuli tu subiri.

Watu wasio na hatia wanauawa ovyo jijini Tripoli. Chanzo cha haya yote ni maandamano yaliyoanza takribani miezi sita iliyopita.

CHADEMA wajifunze kutokana na maafa yanayoikumba Libya hivi sasa. Amani imetoweka, na kila kona ya nchi ni shida tupu. Raia wa kigeni, hasa waafrika wanauawa kwa kisingizio kwamba, eti walikuwa ni sehemu ya majeshi ya kukodiwa ya Ghadafi.

Hapa nchini Tanzania, endapo maandamano ya CHADEMA yatashika kasi, raia wenye asili ya kihindi ambao wanahusishwa zaidi na chama tawala, huenda wakaja kuwa wahanga wakubwa wa ghasia zitakazotokana na maandamano hayo.

Mbona umewalenga tu CHADEMA na kuwaacha CCM? Je haipaswi CCM kuwa na gud governance ili maandamano yasitokee na CHADEMA wakose hoja ya kuwaandamanisha raia? By the way kama serikali ni ya watu kwaajili ya watu inakuwaje watu wajipinge wao wenyewe? Ukiona hivyo basi ujue hapo kwenye hiyo sirikali kuna ka utata kidogo kama kweli ni ya watu kwaajili ya watu!

umetumia muda gani kutafakari kabla hujapost hii thread yako!?
Hivi huoni kuwa matatizo ya Libya yanasababishwa na Ghadafi na ni waasi ndio wanataka angalau kutafuta njia ya kuyapunguza!?
....fikiria Mubarak angelitumia akili kama ya Ghadafi leo hii Egypt ingekuwaje?
Unadhani hiyo social, legal and economical injustice si ndiyo chanzo cha yote hayo? ...ambayo kama ilivyo TZ pale ambapo statistics zote zinaonyesha uchumi umekua na utoaji wa haki ni wa kiwango cha juu lakini havionekani machoni pa Watanzania wa kawaida na walio wengi ...hicho SI NDIYO KINAITWA INJUSTICE???? Je hivi vimeletwa na 'magwanda'????
Eid njema
Watu wasio na hatia wanauawa ovyo jijini Tripoli. Chanzo cha haya yote ni maandamano yaliyoanza takribani miezi sita iliyopita.

CHADEMA wajifunze kutokana na maafa yanayoikumba Libya hivi sasa. Amani imetoweka, na kila kona ya nchi ni shida tupu. Raia wa kigeni, hasa waafrika wanauawa kwa kisingizio kwamba, eti walikuwa ni sehemu ya majeshi ya kukodiwa ya Ghadafi.

Hapa nchini Tanzania, endapo maandamano ya CHADEMA yatashika kasi, raia wenye asili ya kihindi ambao wanahusishwa zaidi na chama tawala, huenda wakaja kuwa wahanga wakubwa wa ghasia zitakazotokana na maandamano hayo.

Mimi ningependa watu kama hawa tuwafutilie mbali maana anafurahi jinsi wananchi wanavyokosa haki zao kisa tuna amani ya mwili wakati rohoni hatuna amani hata kidogo.Tuwashauri CDM kwa kuwa Bunge limiisha waitishe maandamano haraka iwezekanavyo.
Wale wanaoishi Mbezi ya Kimara na ktkt ya jiji sijui wengine huko,Bei ya vyakula imepanda mara dufu sasa anayetetea mafisadi tumwelewe vipi jamani.Tuache unafiki tuungane kuleta mabadiliko.

Great thinkers huwa hawaandamani, wanapanga mikakati na kusimamia utekelezaji wake kwa mujibu wa sheria za nchi.

Hakuna serikali duniani isiyokuwa na mapungufu yake. Tungoje 2015!

Tanzania bila ya maandamano inawezekana!

Magwanda hawana uwezo tutahakikisha tunawasuilubu kila wanapojaribu kutuchafulia amani yetu. Kama walivyofanywa Arusha na watakapojaribu tena itakuwa ni mara 100 ya ile.

HADI MAPOVU MDOMONI PUNGUZA JAZBA WEWE!

Hii thread inafanana na ya masaburi people kwa kuwa Chadema haihimizi machafuko bali inahimiza watanzania kudai haki na viongozi waache kupora rasilimali za nchi.

Back
Top Bottom