Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,166
- 222,101
Anaweza kuwa kweli kauawa , lakini aliyemuua ni huyu mnayemdhania, kwanini ?Huo ukoo ushaingia dosari kubwaa, kisasi kitaenda karne na karne
Huyo mtoto wa Aneth atakua! mziki utaanza tena hivi ni wakiume😂