Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Kwa kweli sasa maisha yamekuwa mazuri na mama amefungua sana Ikulu na Nchi ujumla.
Natembea barabarani na mwona na Mbowe naye kwenye mabango. Hii isingewezekana awamu ya Tano. Mbowe ashukuru sana. Sasa atulie tu ale taratibu. Mama ana huruma hawa jamaa walipata mateso sana na shida wakati ule.
Sasa wana nawiri na wanafuraha hata wao wanabandikwa kwenye mabango. Haya mambo yaacheni nyie sikieni tu kwa watu. Magufuli alikuwa hataki kabisa kukaa nao chini kuangalia nao wata survive vipi ukaidi na ujeuri ndo ulikuwa wake. Na ndo maana tulimpinga sana.
Sasa maisha ya wapinzani safi kabisa. Zitto sijui alihamia wapi. Simsikii. Mbowe kwenye ile kesi ya kubambikiwa alitoka kweli? Mbona naye hasisikiki tena? Amenyamaa.
Lema kule kwenye nanii ya Maria Sarungi simwoni tena akichangia na kukosoa. Amenyamaza. Wamemwacha dada wa watu peke yake. Maana sasa hamna cha kukosoa mama amerekebisha kila kitu. Maisha yamekuwa safi na hakuna tena misukosuko kwa wanasiasa