Kwa hili vijana tumeshikwa pabaya

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
dah mazee ile nyomi niliyoikuta pale msimbaz centre ktk interview ya access bank ni kiashilio tosha kwamba vijana tumeshikwa pabaya kwa hili sakata la ajira.watu ni zaidi ya miatatu na wanaohitajika ni 30 tu.nadhan hata waajiri hapa wanapata tabu sana ktk kusort.vijana wenye kazi tusichezee jaman.hali ni mbaya!!!
 
Kama umeliona hilo basi mimi napenda nikupe ushauri wa bure kabisa nao ni kuwa FANYA UAMUZI WA KUJIAJIRI!
 
Njooni huku kwetu kuna kazi kibao tu hazihiaji interview.
Kama wew ni sharabaro au unapenda vya kunyonga subirien tu hizo kazi za
interview
 
kaka mi co sharo baro na wala cpo ktk hyo industry.km vp we ni PM then unipe michongo.ndio utu unavyokwenda
 
najiajili vp wakat cna mtaji wala vya kuniwezesha nipe mawazo.elimu nliyonayo hainipi mwanya wa kujiajili na wala cna wa kuniwezesha.unasemaje hapo
 
Wengi wamesoma na kuwa zombies wa kuamini ukimaliza chuo ni kuajiriwa.
Nashukuru nilikula unga wa rutuba-bibi kilembwe kanikosa
Kila la kheri kwenye kusaka umanamba
OTIS
 
Kama umeliona hilo basi mimi napenda nikupe ushauri wa bure kabisa nao ni kuwa FANYA UAMUZI WA KUJIAJIRI!

Wengi wamesoma na kuwa zombies wa kuamini ukimaliza chuo ni kuajiriwa.
Nashukuru nilikula unga wa rutuba-bibi kilembwe kanikosa
Kila la kheri kwenye kusaka umanamba
OTIS
mbona wengi mnajifanya hamuyajui maisha ya mtz yakoje, wengi wetu hata ada ya 70,000 ilikuwa shida...leo unaniambia nimekuwa Zombie...
 
achana nao wanajishua tu hawa.ukiwauliza jinsi ya kujiajiri hawajibu wanachonga tu.inavyoonekana wanaongea kifashion tu.muwe nnatuponda na kutupa solutions jaman,nyie c ndio mnajiita great thinkers.sasa mnathink kipi in great?
 
imeshakuwa fashion sasa, mjiajir mjiajiri
 
humu JF hamna msaada wowote unatoa wazo watu badala wakushauri wanakupa mabango kama hauna cha kumshauri mtu si unyamaze kwani ukisoma na ukanyamaza utapungukiwa nn watu hawaendi hivyo hata kama wewe umefanikiwa usijisifu wala kujiona mjanja kwani hakuna formula ya maisha.
 
mbona unanishutumu bure, soma vizuri nilichokuwa nikikijibu.
 
mbona unanishutumu bure, soma vizuri nilichokuwa nikikijibu.[

cjamaanisha wewe mimi nimewalenga wale wanaotoa mabango kwa watu wanaoweka post sory 4 that ww uko sawa kabisa wapo wanojifanya wamefanikiwa hawajui kama aliyewapa anaweza akawanyang'anya na kuwapa wasiokuwanaocho
 
Back
Top Bottom