Kwa hili, Rage hastahili kuitwa mheshimiwa!

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Ndugu wanabodi JF,
Nianze kwa kuomba radhi kama kuna mtu ambaye kwa mchango wangu huu nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja au nyingine.
Huyu Rage aliwahi kukutwa na hatia ya kukwapua fedha katika iliyokuwa FAT,na alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela,

Ni huyuhuyu Rage aliyevunja sheria za uchaguzi kwa kupanda jukwaani na bastola kule igunga,na ikawa moja ya sababu mojawapo iliyosababisha chama chao kuenguliwa matokeo ya uchaguzi na hivyo kupoteza jimbo kwa amri halali ya mahakama.

Huko katika kilabu cha mpira simba sports club ambako yeye ndiye kiti, nako ni bwana haambiliki na matokeo yake ni kama tunavyoona na kusikia katika media mbalimbali nchini, kwamba klabu ina migogoro kila siku na haifanyi vizuri.

*Funga kazi ni hivi juzi ambapo akiwa dodoma kwa shughuli za kibunge ameshirikiana na viongozi wenzake wa CCM na kwenda kun'goa bendera kwenye tawi la CDM na yeye rage kuuvunja mti uliokuwa unatumika kupeperusha bendera na kuutumia kumpigia kiongozi na mwana harakati wa CDM (ushahidi wa picha za tukio ziliwekwa humu jamvini bila kificho).

*my take: ni kwamba huyu jamaa kapoteza na hajawahi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi wa ngazi ya ubunge kama si tabia ya wana ccm kupoteza maadilili ya uongozi na hivyo kutuchagulia watu wa aina ya Rage na wengineo wengi waliojaa humo CCM,

Inaudhi na kutia aibu kuwa na viongozi wa aina ya rage na kuanzia sasa mimi kwangu namuita muishiwa Rage.View attachment 82553
 
Attachments

  • aden_rage.jpg
    aden_rage.jpg
    35.8 KB · Views: 86
Mi nadhani maccm yote hayana sifa za kuitwa waheshimiwa bora tu tuyaite waishiwa mkuu kuipa nguvu hoja yako. kwa mfano watu kama kina Nchemba, Lusinde, Ndugai, Makinda na wengine karibu wote hawana sifa za kuitwa waheshimiwa bali jina zuri ni la WAISHIWA
 
ikumbukwe familia yake haipo hapa nchini watoto wanasoma marekani na australia,wakati wowote machafuko yakianza atakimbia na kuacha familia zetu katika tabu!!ni mtu wa kuchungwa sana na usalama wa taifa
 
kujadili rage ni kupoteza muda hana sifa za kuongelewa humu.
 
Ndugu wanabodi JF,
Nianze kwa kuomba radhi kama kuna mtu ambaye kwa mchango wangu huu nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja au nyingine.
Huyu Rage aliwahi kukutwa na hatia ya kukwapua fedha katika iliyokuwa FAT,na alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela,

Ni huyuhuyu Rage aliyevunja sheria za uchaguzi kwa kupanda jukwaani na bastola kule igunga,na ikawa moja ya sababu mojawapo iliyosababisha chama chao kuenguliwa matokeo ya uchaguzi na hivyo kupoteza jimbo kwa amri halali ya mahakama.

Huko katika kilabu cha mpira simba sports club ambako yeye ndiye kiti, nako ni bwana haambiliki na matokeo yake ni kama tunavyoona na kusikia katika media mbalimbali nchini, kwamba klabu ina migogoro kila siku na haifanyi vizuri.

*Funga kazi ni hivi juzi ambapo akiwa dodoma kwa shughuli za kibunge ameshirikiana na viongozi wenzake wa CCM na kwenda kun'goa bendera kwenye tawi la CDM na yeye rage kuuvunja mti uliokuwa unatumika kupeperusha bendera na kuutumia kumpigia kiongozi na mwana harakati wa CDM (ushahidi wa picha za tukio ziliwekwa humu jamvini bila kificho).

*my take: ni kwamba huyu jamaa kapoteza na hajawahi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi wa ngazi ya ubunge kama si tabia ya wana ccm kupoteza maadilili ya uongozi na hivyo kutuchagulia watu wa aina ya Rage na wengineo wengi waliojaa humo CCM,

Inaudhi na kutia aibu kuwa na viongozi wa aina ya rage na kuanzia sasa mimi kwangu namuita muishiwa Rage.
mkuu mbona tumeambiwa alienda kumuokoa yule jamaa wa magwanda. au hukulisikia hilo? ukiangalia zile picha unaweza ukasema alichokuwa anafanya? au ni hisia tu mkuu? kwa mengine yawezekana ila kwa hili la juzi hata kama yeye ni mnyonge lakini haki yake msimnyime.
 
Naomba uvute subira kukuche nafikiri kuna mwanabodi atakuwekea picha halisi rage akiwa anamchoma na mti yule mwanaharakati,
Pia kwa media za jambo leo na uhuru kama rage angekwenda kumuokoa basi hiyo ndiyo ingekuwa headlines ya juzi kwa magazeti hayo ya ccm mkuu,
 
mkuu mbona tumeambiwa alienda kumuokoa yule jamaa wa magwanda. au hukulisikia hilo? ukiangalia zile picha unaweza ukasema alichokuwa anafanya? au ni hisia tu mkuu? kwa mengine yawezekana ila kwa hili la juzi hata kama yeye ni mnyonge lakini haki yake msimnyime.

Mkuu picha hizo umeziona, au macho yako yana matege? au wewe ndo Rage mwenyewe? au ndo una kurupuka kutoka usingizini?
 
Mi nadhani maccm yote hayana sifa za kuitwa waheshimiwa bora tu tuyaite waishiwa mkuu kuipa nguvu hoja yako. kwa mfano watu kama kina Nchemba, Lusinde, Ndugai, Makinda na wengine karibu wote hawana sifa za kuitwa waheshimiwa bali jina zuri ni la WAISHIWA
Mkuu,
Tena huyu nchemba yeye tayari ametolewa ushahidi katika kesi ya vurugu kule jimboni kwake katika kitongoji cha ndago.polisi wametoa ushahidi na kuthibisha kwamba yeye ndie alikodisha gari na kubeba wahuni kwenda kuwafanyia cdm vurugu na hatimae kusababisha mauaji.

Hivyo nae ni muishiwa mbunge tena anatuhumiwa kwa kutumia jina lisilo lake kujipatia elimu ya wizi
 
Ndugu wanabodi,
habari za asubuhi,naomba yeyote mwenye zile picha za matukio ya kupigwa kwa mwanaharakati wa chadema akishambuliwa na wale wana CCM,kule dodoma,wakiongozwa na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya chama.akiwemo muishiwa Rage,basi atuwekee humu ili tujiridhishe na tukio hilo,na uhusika wake katika tukio lile.
 
Rage, Kinana ni wasomali na majangili. Wameivuruga nchi yao mpaka haitawaliki tena sasa wamekimbilia Tz nako wanataka kuanzisha vita!
Nazidi kuisisitiza serikali ya Dhaifu iwafukuze watu hawa kutoka nchini kwetu ili nchi itulie
 
kwani kuna watu wanamheshimu rage,naamini sasa mpira pesa wana sababu ingine ya kuuthibitishia umma kwamba rage ni chenga
 
mkuu mbona tumeambiwa alienda kumuokoa yule jamaa wa magwanda. au hukulisikia hilo? ukiangalia zile picha unaweza ukasema alichokuwa anafanya? au ni hisia tu mkuu? kwa mengine yawezekana ila kwa hili la juzi hata kama yeye ni mnyonge lakini haki yake msimnyime.

ana unyonge gani rage? hana unyonge zaidi ya yeye kuwanyonga wengine. anatufanya watz wengine tusiwapende wageni (baadhi) na tujiulize kama ni lazima tuwe na foreigners waliozaliwa au kuomba uraia humu, huku wakiendeleza uhuni na ufisadi kwa kujificha kwenye migongo ya vyama* hasa tawala. mtoto wako kweli huna pa kumfukuzia, lakini wa mwenzio, tena mwenye kwao, si aende tu kwao? kilichomleta ni cha heri au shari? naomba msinipe hadithi au historia yake ya kuhalalisha utanzania wake. tunapenda kumpenda na kumuheshimu kila binadamu, lakini unaweza tu kufanikisha ikiwa mlengwa nae anapenda na kuheshimu wengine.
 
Ndugu wanabodi JF,
Nianze kwa kuomba radhi kama kuna mtu ambaye kwa mchango wangu huu nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja au nyingine.
Huyu Rage aliwahi kukutwa na hatia ya kukwapua fedha katika iliyokuwa FAT,na alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela,

Ni huyuhuyu Rage aliyevunja sheria za uchaguzi kwa kupanda jukwaani na bastola kule igunga,na ikawa moja ya sababu mojawapo iliyosababisha chama chao kuenguliwa matokeo ya uchaguzi na hivyo kupoteza jimbo kwa amri halali ya mahakama.

Huko katika kilabu cha mpira simba sports club ambako yeye ndiye kiti, nako ni bwana haambiliki na matokeo yake ni kama tunavyoona na kusikia katika media mbalimbali nchini, kwamba klabu ina migogoro kila siku na haifanyi vizuri.

*Funga kazi ni hivi juzi ambapo akiwa dodoma kwa shughuli za kibunge ameshirikiana na viongozi wenzake wa CCM na kwenda kun'goa bendera kwenye tawi la CDM na yeye rage kuuvunja mti uliokuwa unatumika kupeperusha bendera na kuutumia kumpigia kiongozi na mwana harakati wa CDM (ushahidi wa picha za tukio ziliwekwa humu jamvini bila kificho).

*my take: ni kwamba huyu jamaa kapoteza na hajawahi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi wa ngazi ya ubunge kama si tabia ya wana ccm kupoteza maadilili ya uongozi na hivyo kutuchagulia watu wa aina ya Rage na wengineo wengi waliojaa humo CCM,

Inaudhi na kutia aibu kuwa na viongozi wa aina ya rage na kuanzia sasa mimi kwangu namuita muishiwa Rage.View attachment 82553

Kwenye hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Jimbo la Igunga, Rage alitajwa katika ushahidi kwa kwenda na silaha aina ya Bastola kwenye mikutano ya kampeni na hivo kumkosesha Dr. Kafumu wa CCM Ubunge kupitia CCM.

Huyu jamaa ana asili ya Somalia, na kila mtu anajua majitu ya Somalia yalivyo makorofi kwamba kila siku yanauana na hayataki serikali ya kidemokrasia. Rage ni mtu wa kuangaliwa kwa jicho la karibu!!!
 
Back
Top Bottom