Kwa hili nawasifu Wazungu

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Katika kipindi kifupi wameweza kutekeleza wanachokiamini kumpiga Gadafi. Ni sehemu gani duniani ambako katika kipindi kifupi jamii au mataifa yoyote yenye malengo sawa yanaweza kutekeleza malengo yao kwa ufanisi namna hii?

Ni lini Waafrica watakuwa na msimamo na kusimamia yale wanayoyaamini hata ikibidi kupigana ili kuyatetea?

Ni lini Waarabu watakuwa na msimamo na kusimamia yale wanayoyaamini hata ikibidi kupigana ili kuyatetea?

Kama muda huo wakusimamia tunayoaamini hautafika. Daima tutakuwa tupigwa kama swala wanavyowindwa na simba kule serengeti.
 
Miafrika inaangalia karibu a.k.a kujishibisha harakaharaka ndo maana haiendelei,wakati wenzao wanafikiria miaka hamsini ijayo itakuwaje na wanasimamia kwelikweli hata kwa mtutu.
 
Back
Top Bottom