Kwa hili mmetudanganya

LOMP

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
215
21
Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-Mwanza.Bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho na chuo cha pili hapa nchini. Ni kwel?
 
Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-mwanza.bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho n chuo cha pili hapa nchini.Ni kwel?

Mh hivi vyuo vya private bwana. Mm nadhani saut kinaweza kushika nafasi ya tatu kikiongoza udsm then sua. Najua watu watasema mzumbe vp bt kiukweli mzumbe bado
 
Kimekuwa cha piilu kwa kilimo cha mtama au ufugaji WA ng'ombe WA maziwa?..........
 
Cha pili kwenye nn?

mmmmm saut cha miaka mingi lakini kwa hapo kusema cha pili ni sawa kwasababu wao wamesema hata mimi naweza sema."ila yupo sawa labda kwa wingi wa watu na uzoefu,ila muhas iko wapi,hubert kairuki,mzumbe,sua, huyo anazingua bwana. mnataka anzisha ligi tu za vyuo hapo.toa hii
 
cha pili kwa ukanjanja&na kudahili division three mbofu mbofu na matawi chungu nzima pya pya pya pya!
hapaana usifike huko mkuu ,maana si wote wa kule wana div 3 mbovu.wengi nawajua wanapiga ualimu kule wana div 2.ila sijawahi ona mtu anasoma tangu anaanza advance ili anende vyuo fulani hivi.bali anasoma kwa bidii ili anende vyuo fulani hivi.
 
"cha pili kwa ukanjanja&na kudahili division three mbofu mbofu na matawi chungu nzima pya pya pya pya!"
DV 3 ZIPI?
 
mmmmm saut cha miaka mingi lakini kwa hapo kusema cha pili ni sawa kwasababu wao wamesema hata mimi naweza sema."ila yupo sawa labda kwa wingi wa watu na uzoefu,ila muhas iko wapi,hubert kairuki,mzumbe,sua, huyo anazingua bwana. mnataka anzisha ligi tu za vyuo hapo.toa hii

eti muhas kiko wapi, chuo kilichobaki jina tu with poor outputs
 
Back
Top Bottom