Si ungemuuliza
NAOGOPA KUFUKUZWA CHUO.chezea waroma wewe.
wewe ni kanjanja tu huna lolote!
Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-mwanza.bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho n chuo cha pili hapa nchini.Ni kwel?
Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-mwanza.bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho n chuo cha pili hapa nchini.Ni kwel?
Ni kweli SAUT Mwanza ni chuo cha pili kwa ubovu kielimu Tanzania
Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-mwanza.bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho n chuo cha pili hapa nchini.Ni kwel?
Cha pili kwenye nn?
hapaana usifike huko mkuu ,maana si wote wa kule wana div 3 mbovu.wengi nawajua wanapiga ualimu kule wana div 2.ila sijawahi ona mtu anasoma tangu anaanza advance ili anende vyuo fulani hivi.bali anasoma kwa bidii ili anende vyuo fulani hivi.cha pili kwa ukanjanja&na kudahili division three mbofu mbofu na matawi chungu nzima pya pya pya pya!
mmmmm saut cha miaka mingi lakini kwa hapo kusema cha pili ni sawa kwasababu wao wamesema hata mimi naweza sema."ila yupo sawa labda kwa wingi wa watu na uzoefu,ila muhas iko wapi,hubert kairuki,mzumbe,sua, huyo anazingua bwana. mnataka anzisha ligi tu za vyuo hapo.toa hii
nadhan karibu PCB wote wanasoma na wanalilia ili waende muhas,wewe wa wapi?au walikubania muhaseti muhas kiko wapi, chuo kilichobaki jina tu with poor outputs