CR wa PROB
Senior Member
- Sep 21, 2011
- 170
- 29
Leo ni mara yangu ya pili kukusikia mh Pinda ukizungumzia maswala yanayoigusa jamii,
Kwa kifupi leo nimefarijika sana kumwona waziri mkuu wetu akiwa anawaonya na kuwakemea viongozi ambao wanatumia pesa za walipa kodi kuingia kwenye misafara mingi pale wanapoona kuna kiongozi mkubwa serikalini amekuja kwenye maeneo yanayowazunguka, kwa nchi kama Tanzania imekuwa kama desturi ya viongozi waandamizi wa wilaya na mikioa kuingia kwenye misafara isiyowahusu huku wakiwa wanatumia vibaya pesa za walipa kodi kwenye kujipangia marupurupu ya per day pamoja na mafuta siku akija kiongozi mkubwa serikalini.
Kiukweli Mh Pinda kwa nafsi yangu umenifurahisha ulipowaambia wawatembelee watu kwa muda wao bali sio kusubiri upite wewe kama waziri mkuu ndio wakufuate nyuma kwenye msafara wako, kwa hili Pinda nakupa big up sana!!!
MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA