Kwa herini wana JF wote

Mie ni Bibi, lakini ni heshima kubwa kuitwa dada, mama , anti au bibi, kwa marw nyingine tena nakutakia kila la kheri katika masomo yako, chunga vishawishi, jiepushe na mapenzi ukiwa masomoni, huwa yanapoteza sana muda wa kusoma.

Yote utayakuta ukimaliza kusoma na ukiwa na profession yako, tena hapo hautoyatafuta, yatakutafuta.

Asante sana mama kwa mara nyingine. Nashukuru kwa ushauri wako
 
mimi niligraduate enzi zile hi5 imepamba moto, na facebook ndo inaanza anza, lakini nilikuwemo tu. tena darhotwire nayo ilikuwa moto wa kuotea mbali kwa kuchat chat. lakini tumemaliza salama pamoja na kusurf muda mrefu. usiogope young mister, shuel unapiga na jamii forum unapiga, cha msingi achana na facebook tu
 
Mie facebook sipo kabisa mkuu. Bya da way my name is Young Master and not young mister
 
Back
Top Bottom