Kwa heri CCM

Ni wewe Mwita25 ninaekujua mimi!....au wewe siye? Na kama ni wewe basi siwezi kubali kirahisirahisi kama kweli umeokoka kutoka magambani.
Nasubili hadi jumatatu asubuhi ndipo nihakikishe....maana usikute leo ni weekend sahizi uko somewhere unazigida bia hadi umepoteza fahamu.
 
Hii habari sidhani kama ni ya kweli, na hata kama ya kweli basi hata huko unakokwenda hautakuwa mwanachama mzuri, zaidi ya maslahi ambayo ulikuwa unayategemea kutoka unakotoka

una maakili sana.
 
Kwako Invisible!

Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani.

Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa. Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwa sababu CCM amewakataa watu wengi sana.

Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.

Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!

Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania! Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwa nini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune?

Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.

People's Power!

nitarudi baadaye kidogo ukimaliza probation.
 
I doubt this boy is "psychologically orphaned"....no this is dream kama alivyosema aliamka usiku ndotoni.....let me try connect the dots....no this is a joke of a year

Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo.................. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu...............lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani. .........Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa. Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwa sababu CCM amewakataa watu wengi sana.
 
hatukutaki chadema,usijipendekeze.....nenda kaanzishe chama chako mwita and mama rhobi political party,umwage mapumba yako

Mkinikataa nitarajaribu hata kile chama cha wakulima. Lakini CCM mimi baaaaaasi
 
Hee mwita real unatia huruma kidogo afu unachekesha kidogo yani kwa m2 anaekufaham and the way ur acting...m2 anashindwa awe na hisia gani juu yako. Pity au sympathy? Lol!
 
Mkuu Mwita25 mimi ntaamini hilo kama utajiondoa pia kwenye ile payroll. Wewe ni mtu mzima hope you know what I am saying.
 
Kwako Invisible!

Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini wakati naendendelea kutafakari niliona gamba moja lipo karibu na ukutani.

Kutahamaki kumbe yote yalikuwa yamechomoka. Nilipojaribu kuyaruridishia, yakawa madogo kuliko mwili wangu, yaani yamenikataa. Huu ukawa mwanzo wa kukatalaliwa na CCM. Sikustaajabu kwa sababu CCM amewakataa watu wengi sana.

Infact, anajikataa hata yeye mwenyewe. Sina maneno mazuri ya kujieleza zaidi ya kusema kuwa ndoa yangu na CCM imeisha leo. Hizi taarifa haziwezi kuingia kwenye kichwa cha Nape, kada nambari moja asiyejua kazi yake zaidi ya kulazimisha watu tuipiganie CCM kwa nguvu zote tena sehemu yoyote.

Taarifa ni chungu zaidi kwa Mwenyekiti wa UVCCM, Dodoma ambaye kucha kutwa anatuma vivocha kwa wanafunzi wa UDOM ili, eti waipiganie CCM! Kwa lipi hasa? Chama ambacho hata Mwenyekiti wake mstaafu anapangiwa maneno ya kuongea jukwaani! Chama ambacho kiko tayari kuua ili kipate kura moja?!

Hiki ndiyo chama kilichoshika hatamu Tanzania! Sina maneno mengi ila kusema kuwa umbumbumbu wangu umefika kikomo. Gamba limeng'ang'ania kwenye godoro na sasa najisikia mwepesi saaaaaana kiasi cha kujuta kwa nini nimeteseka muda wote huo kula chakula cha simba ambaye mwisho wa siku anataka anitafune?

Nimeteseka sana, nimenyanyasika sana na nimehuzunika sana na sasa NAACHIA NGAZI.

People's Power!
yeah.... ushashiba vile vi fifty per day au?? tumbo.jpg
 
Back
Top Bottom