Kwa haya mambo pia tumkumbuke Ndugu kikwete na CCM yote ni ile ile isiyobadilika

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Mwandishi wa habari Mwangosi anauawa mbele ya camera za waandishi wengine wa habari. Dunia nzima inashtuka mwandishi huyu kuuawa na polisi akiwa katikati yao hana silaha yoyote ile.

Inapigwa kelele sana... Inafahamika sababu ya kumuua mwangosi ni kuwa mwandishi huyu alikuwa yupo neutral. Akiandika anachokiamini kwa udhibitisho toka pande zote mbili husika.

Hii ilijenga dhana kuwa huyu ni mwana chadema. Polisi waliamini hivyo hasa siku ile anaenda kufanya kazi sehemu moja alipopata lift ya wanachadema. Ikaonekana anaipinga serikali sababu ni mwana chadema. Hakuwa akiipinga serikali.aliamua tu kufuata kanuni na taratibu za uandishi.akaidhinishiwa kifo.akauawa na polisi. Aliyepitisha kifo chake akapewa cheo.

Dr. Ulimboka alionekana ni kijana msumbufu na mwenye msimamo imara kutetea maslah ya madaktar.anaweza kuwa sawa au si sawa kwa mitazamo ya watu mbalimbali.lakini alikuwa na kitu alichokiamini.

Alipewa onyo. Hakusita akazidi kujongea mbele... Kilichomkuta mpaka leo tunakifaham. Mungu ni mwema alimsitiri kuuweka wazi unyama wa utawala ule kwa watu hawa.mtuhumiwa mkuu wa mauaji yale alitajwa na ushahidi wake.alikuwa AKIISHI IKULU. Akiishi IKULU. hakufunguliwa mashtaka na dr ulimboka aliondolewa nchini na Serikali.akaenda fichwa huko.

Dr. Mvungi, mwana katiba ambaye yeye alielekea kabisa kuiamini ile nia ya kutengeneza katiba kwa dhati tofauti na wenzake. Akauawa.waliomwua hawajafahamika mpaka leo.

Absalom kibanda yeye alimwagiwa tindikali. Waliohusika sikumbuki kama walikamatwa.

Haya yalitendeka na hakuna aliyekuwa akiona kama ni tatizo ndani ya CCM. FAIZA FOXY alikuwa hapa JF siku zote akimtukuza kikwete ambaye ni katika utawala wake yalifanyika haya. Kwa nini hakuona shaka? WALIO UAWA WALIKUWA NI WAKRISTO KATIKA UTAWALA WA KIISLAMU HIVYO ILIKUWA SAHIHI.

Utawala huu wa magufuli umekuja na makando kando yake ambayo ni mwendelezo wa CCM ile ile ya miaka yote. Alipoishia kikwete ndipo alipoendeleza mwingine ambaye ni matokeo ya uhuni na uchafu ule ule wa kikwete.

Leo faiza anaaanza kumkosa magufuli. Ni jambo jema. Lakini the motive behind ni nini? MAGUFULI SI DINI YETU.MAGUFULI NI MKRISTO NA tayari ameshatubana hata sisi ambao tuliishi kwa neema kipindi cha kikwete hivyo hafai.

Faiza et all hawana uchungu na MTANZANIA MWINGINE AMBAYE SI MUISLAM.tunajua suala la udini linavyowekwa mbele katika siasa na waislamu.msizani faiza ana uchungu na tundu lissu ambaye ni mkristo pia.

Someni ambacho amekuwa akiandika before kabla na yeye hajaguswa katika maslahi yake.

Wapo wengi ndani ya CCM ambao utawala huu umewaathiri. Hawa upinzani msidhani ni rafiki wa kudumu. Ni wabaya kuliko CCM wenyewe. Mmesahau wangap walihamia upinzani baada ya kugombana na kikwete? Na baada ya kikwete kuondoka wamerudi CCM? Upinzani muende kwa itikadi. Anayetaka kuhamia chama chenu aikubal kwanza itikadi na si ugomv wake na mtu ndani ya CCM.

Si ajabu leo hii watu wakaanza sema naona faiza foxy umeanza pata akili.wakasahau huyu anaangalia maslah yake yameguswa huko udom,nssf na sehemu nyinginezo.

Msije mkadhani ni mwenzenu.si mwenzenu. EPUKANI WANAFIKI HAWA AMBAO WAMEKULIA MAFUNZO YA KINAFIKI TOKA WANAKUA. NI NYOKA WENYE SUMU KALI.
 
Mleta uzi wewe haupo ok

Karne hii ya 21 bado unajenga hoja ukitegemea huruma ya imani zako za kidini

You are professionally zero Brain of 2019

Jibu hoja za Faiza kwanza halafu endelea kuleta umbea wako

Hizi propaganda za kuanzisha uzi ili ufunike uzi mungine unapoteza muda wako, Mnavimba mashafu kila wakati mnafikiri kupandisha uzi humu Jf kuzima mijadala husika

Mwambie anayekutuma anapoteza muda wake ajibu hoja sio kuleta vioja

Certified idiot of the year 2019 wewe
 
Unajua matendo ya Leo ndo mbegu ya mazao ya kesho. Sasa hao ulowataja mbegu zao ziliota kwenye miba.
 
Mleta uzi wewe haupo ok

Karne hii ya 21 bado unajenga hoja ukitegemea huruma ya imani zako za kidini

You are professionally zero Brain of 2019

Jibu hoja za Faiza kwanza halafu endelea kuleta umbea wako

Hizi propaganda za kuanzisha uzi ili ufunike uzi mungine unapoteza muda wako, Mnavimba mashafu kila wakati mnafikiri kupandisha uzi humu Jf kuzima mijadala husika

Mwambie anayekutuma anapoteza muda wake ajibu hoja sio kuleta vioja

Certified idiot of the year 2019 wewe
Aisee, unakumbuka mengi sana, unaweza pata stress, take wine and relax
 
Back
Top Bottom