Kwa hali hii wanawake hawawezi

Aaaaaaaaaaaa Bazazi hufanani hiyo reasoning uliyoitoa hapo labda kama ulikuwa unatania.

Shida yangu ilikuwa kuwataka wanawake wa Tanzania kupigania UWT wapiganie kubadili jina hilo liwe UWCCM kwani hoja yako kwa baadhi ya watu hawataielewa kwani hawajui kama umoja huo ni wa CCM.

Ilikuwa hoja ya uchokonozi tu mwaJ.

BAzazi!
 
Last edited by a moderator:
Shida yangu ilikuwa kuwataka wanawake wa Tanzania kupigania UWT wapiganie kubadili jina hilo liwe UWCCM kwani hoja yako kwa baadhi ya watu hawataielewa kwani hawajui kama umoja huo ni wa CCM.

Ilikuwa hoja ya uchokonozi tu mwaJ.

BAzazi!

sawa kabisa hilo jina libadilishwe maana kwa jinsi lilivyo inaleta picha kama vile umoja huo unawakilisha wanawake wa Tanzania kwa ujumla kumbe unawakilisha wanawake wenye magamba only!!
 
Sasa wewe unafkiri mwanaume wa shoka ataacha kutoa support kwa mwanamke wa shoka???
Tatizo si wanawake hawawezi!!!! wanaoweza hawapewi nafasi,,,,,tatizo ni mfumo wote wa ccm umejaa rushwa...........

Hawapewi? Nani kashikilia nafasi zao?
 
Ni vigumu sana kufight mfumo dume coz hata mleta uzi anaonyesha jinsi ulivyomwathiri na kushindwa kuweka heading ya kueleweka.
 
sawa kabisa hilo jina libadilishwe maana kwa jinsi lilivyo inaleta picha kama vile umoja huo unawakilisha wanawake wa Tanzania kwa ujumla kumbe unawakilisha wanawake wenye magamba only!!

UWCCM ni pango la makuwadi, walozi, ma..haba,wezi wala rushwa mashemeji na wakwe!
 
Back
Top Bottom