Kwa hakika CCM naichukia hata haya yangetokea kwa upande wangu

o
Labda mnayoiongelea nyie ni CCM nyingine, cuz CCM nayoijua mimi asilimia kubwa ya wananchi wanaipenda na kusupport.
Ni vichwa maji wachache ambao wanajazwa ujinga na watu wachahche wenye njaa zao na uchu wa madaraka ndio wanaona CCM mbaya
Rejaoooo! asilimia kubwa ipi? au wale wazee mnaowadanganya kwa kutokuwa kwao na elimu ya uraia? wengine wao ni hawa hapa


5.+Wazee+Jumanne+Abdallah+%u0025252888%2529+na+Paul+Kashinde+%252882%2529+++wa+Ngazi+wakionyesha.jpg
 
Huwezi kuacha historia nzuri kwa kujiua, ila kwa kushinikiza mabadiliko ya kweli kwa vitendo pamoja na kuonyesha hisia zako juu ya yale usiyoyapenda utakuwa unachangia mabadiliko katika jamii hasa kwa wle ambao wana mawazo mgando kaka wewe Likwanda, nadhani ukitaka kuelewa zaidi hicho kitu nilichoandika hapo namaanisha nini soma kitu flni kinachoitwa HYPABLE kwenye kiingereza.Hisia zangu za kuichukia ccm ni zaidi ya hizo nilizoandika hapo, tupo wengi sana wa namna hiyo, na ndio tutakaochangia kwa kiasi kikubwa kiondoa ccm madarakani by 2015.


Hapo umesema kweli kabisa mkuu, tuko wengi sana. Mie kila nikikaa na marafiki zangu watano tofauti tofauti, utakuta wote hatuipendi CCM kabisaaaa yani ni 99.9% hawaipendi CCM
 
o
Rejaoooo! asilimia kubwa ipi? au wale wazee mnaowadanganya kwa kutokuwa kwao na elimu ya uraia? wengine wao ni hawa hapa


View attachment 37679

Mkuu angalia vizuri hiyo picha, ni kuwa hao wazee wameshikilia picha ya mgombea wa CCM, lakini wamedharau kuwa hawataweza kumpa kura zao. Muangalie vizuri huyo mzee aliekaa pembeni nina hakika anamwambia mwenzake wa kisukuma '' NDOHO GETE U NG'HWENEYU'' yaani HAPANA KABISA HUYU.
 
Isingekuwa CHADEMA tusingejua CCM wanavyo tukula,na ole wenu tukamate Dola Mtaipenda...
Wabunge wa CDM kila siku tunao vijiweni wanasikiliza kero zetu,ninyi wa CCM mkipata tu,mnapeana Uwaziri,Unaibu na Kazi zingine kibao mnatusahau...shyztyp...
 

Attachments

  • chadema-1.jpg
    chadema-1.jpg
    4.4 KB · Views: 199
  • mhYkkWm.jpg
    mhYkkWm.jpg
    8.3 KB · Views: 35
Mkoloni mweusi should be fired 2015!!!!!..uhuru z coming soon..epa,nyerere assasination,meremeta,.korimba assasination,.twin tower,.rada..,balali,...mh kerroooooooooooo!
 
Naona upo katikati ya ndoto unaota upuuzi wa kijuha

Hilo Jembe Na Nyundo mviondoe,muweke SMG,Mabomu ya Machozi Na Washawasha maana ndo mnavyo tumia kutukandamiza watetea haki wa TZ makamanda wa CDM
 

Attachments

  • tz}ccm.gif
    tz}ccm.gif
    2.7 KB · Views: 24
Isingekuwa CHADEMA tusingejua CCM wanavyo tukula,na ole wenu tukamate Dola Mtaipenda...
Wabunge wa CDM kila siku tunao vijiweni wanasikiliza kero zetu,ninyi wa CCM mkipata tu,mnapeana Uwaziri,Unaibu na Kazi zingine kibao mnatusahau...shyztyp...
Chadema watakapopata utawala (Mungu apishie mbali) hakutakuwa na mawaziri, naibu mawaziri na kazi zingine... ama watachagua mawaziri toka chama cha upinzani wakati huo (mungu apishie mbali) CCM! hahaha!
 
mashabiki wa chadema cjui umetolewa kafara mnachokipenda hakijulikani lakin tunawasamehe hamjui mlitendalo daima CCM itabaki kutawala hadi hapo kikosi cha wizi chadema kiongozwa na mbowe, slaa kitakapokwenda jela
 
nadhni wewe unayesema kwamba mkikamata dola watu wataisoma maana yake ,mtakuwa wabaguzi na hivyo ni bora kutokuikubali cdm kama ndo dhamira yenu na hii ni ndoto ya mchana,hiwezekani nchi hii kupewa watu wanaoonesha kuwa na dhamira za kuwagawa watanzania
 
mashabiki wa chadema cjui umetolewa kafara mnachokipenda hakijulikani lakin tunawasamehe hamjui mlitendalo daima CCM itabaki kutawala hadi hapo kikosi cha wizi chadema kiongozwa na mbowe, slaa kitakapokwenda jela

Kama kwa ajili ya kutawala mlikuwa radhi kuua baba wa taifa achilia mbali sokoinne, kolimba nk basi mtatawala milele
 
Binafsi ninaichukia ccm hadi kupindukia na hata nikimuona mtu kavaa nguo ya kijani natamani kumvua. kwa kitendo cha mauaji ya watu wenye mapenzi mema na nchi yao hakika sasa imetosha. Ndugu zangu wa tanzania imefika wakati wa kusema NO ccm hata kwa kuingia msituni kwasababu amani hakuna tena. Morogoro waliua leo Iringa, KWANINI?
Pia nawashangaa polisi, hivi wanafanya hivi kwa sababu elimu yao ndogo na most of them are failure? so wanajua hawana pa kukimbilia? du!
 
Historia inaonesha vitu unavyovichukia huwa vinadumu sana! Tunashukuru kwa chuki zako!
 
CCM hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA Angalia wanavyopitisha budget kwa wingi wao
2. Kupinga vyama vingine kufanya mikutanorefer bomu la ARUSHA kwenye mkutano wa CDM
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni,zaidi huongelea na kukitetea chama chao,serukambo,mkamia etc
4. kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo,zaidi ya kuwapigia nyimba za komba na kucheza miduara
5. Kupiga mabomu na kuzuia maandamano yaliyopewa vibali na kuruhusiwa,na kutumia vitu vyenye ncha kali kuumiza na kuuwa raia wake refer Mwangosi

Tafadhalini wazalendo wa Tanzania wekeni sababu zingine za kuichukia CCM_____________
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom