Kwa hakika CCM naichukia hata haya yangetokea kwa upande wangu

Uwe na hekima na busara kijana. Hata kama unataka kuwasilisha mawazo yako, kwanini usiweke kistaarabu tu? heading yako haina heshima. Jifunzeni ku-cope na JF na jitahidi kuitofautisha na FB.
 
Uwe na hekima na busara kijana. Hata kama unataka kuwasilisha mawazo yako, kwanini usiweke kistaarabu tu? heading yako haina heshima. Jifunzeni ku-cope na JF na jitahidi kuitofautisha na FB.

ujumbe umefika mkuu watu hawaipendi ccm tena
 
CCM hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA Angalia wanavyopitisha budget kwa wingi wao
2. Kupinga vyama vingine kufanya mikutanorefer bomu la ARUSHA kwenye mkutano wa CDM
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni,zaidi huongelea na kukitetea chama chao,serukambo,mkamia etc
4. kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo,zaidi ya kuwapigia nyimba za komba na kucheza miduara
5. Kupiga mabomu na kuzuia maandamano yaliyopewa vibali na kuruhusiwa,na kutumia vitu vyenye ncha kali kuumiza na kuuwa raia wake refer Mwangosi

Tafadhalini wazalendo wa Tanzania wekeni sababu zingine za kuichukia CCM_____________

Hunizi mimi! Nailaani kila siku!
 
Siyo wewe tu bali vijana wote wenye mapenzi mema na taifa letu wanaichukia ccm
 
CCM ni ya kupigwa vita....... Ikiwezekana duniani na hata mbinguni
 
Uwe na hekima na busara kijana. Hata kama unataka kuwasilisha mawazo yako, kwanini usiweke kistaarabu tu? heading yako haina heshima. Jifunzeni ku-cope na JF na jitahidi kuitofautisha na FB.

Mambo vipi msemaji wa CDM na mteteaji wa CCM
 
Angalia wabunge wa CCM walivyopitisha kodi ya line ya simu ya sh:1000/= inayowaumiza wananchi kama mazuzu.
 
Mie kwa kunichakaza kiuchumi..yanimipango yangu ya muda mfupi na mrefu naona wazi haitatimia.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom