Ukweli ni kwamba uongozi ni kipaji cha Mtu Elimu ni jambo la kusaidia tu na ndo maana ktk katiba mama (feki) tunaambiwa mbunge awe na uwezo wa kusoma na kuandika na awe na akili timamu basi na wala siyo Shahada kama hii yangu au yako wewe unaye semea uwenye kt wa kitogoji na shaka niliyo nayo mm ni kwamba huna nidhamu ndo maana hujapewa na majirani zako
hii cv.....imechakachuliwa huyu jamaa alimaliza udsm 2001
.......no? ni kujua kusoma tu, pengine bila hata kujua kuandika, kama ni michango bungeni ni kwa kubwatuka (according to Mukama)Ubunge unahitaji degree?
mzee elimu ni vyeti au uelewa.
unaweza ukanipa elimu ya zuma
Imagine mtu anasoma primary schools tatu tofauti! Maana yake ameanza kufeli toka huko!!
Kumbe ndio maana hata argument yake against Mkapa ilikuwa poor sana!
Jamani tupelekeni wenetu shule!
Vicent Nyerere = Steve Nyerere
wote wanatumia jina la nyerere kujipatia Rizki !!
kambarage Nyerere (RIP) ni Bin adamu alitaka asife ...??! Nadhani aende akaulize nini maana ya leukemia ..? na inachukuwa muda gani kumuondoa mtu duniani ... naona anaropoka vitu asivyovijua!
Thanks.... amesahau kuwa tuna prof Kapuya, Dr. Shukuru kawambwa, Dr. Mponda, wote hao ni sawa na darasa la saba la shule za katamzee elimu ni vyeti au uelewa.
unaweza ukanipa elimu ya zuma
hao ndo cdm hakuna rsources kabisa zaidi ya slaa,zito,mnyika,mdee,lissu, ukirudi kule kwa kina sugu ndo hakuna kitu kabisa mi nazan nw ni wakati wa kujipanga ni namna gani wanabuild skills for the future cz hawawezi kuongoza nchi kwa kuwa na wazir kama sugu au huyo nyerere antegemea hilo jina ndo limtoe bt uwezo hana yule jamaa tuwe wa kweli kuna majembe cdm bt bado hayatoshi kwa mapapmbano mpango wao wa kufika vyuo vikuu uendelee kwa kasi cz nw naona wamelala cjui wamelewa na sifa zipi
Huyo Vicent anaonekana ni mtu wa matusi tupu kwa sababu CV yake tu inaonyesha amesoma shule tatu (3) msingi ambazo zote zipo hapo hapo Musoma Mjini inaonekana hana nidhamu.