Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,363
viongozi wenu wasomi ndiyo walio saini mikataba feki.wezi wakubwa.sasa ubunge unahitaji sifa gani kikatiba.ma prof walioko bungeni unadhani wanatumia elimu yao hata chembe? siasa wizi tu
siasa si wizi.
politics is game in town, siasa ni nguvu ya ushawishi, siasa ni majadiliano na muafaka, siasa yaweza kuwa safi au chafu kutokana na waitumiao. siasa si mchezo mchafu siasa ni mchezo wa wajanja wajuao nini cha kufanya kushinda pande nyingine.
weye wajua kuwa kuna siasa za aina nyingi? unajua kuwa hata kutongozana ni siasa ya aina yake? au ume base katika state politics tu?
siasa ndio chanzo cha maendeleo au machafuko au umaskini hii inatokana na nature ya wanasiasa wa sehemu husika elimu walizonazo raia wa hiyo sehemu na mambo mengine mengi.
nilikuwa najaribu tu kukusaidia kutoichukia siasa.