Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Ndo maana 2010 tulisimamisha mgombea mwenza wa darasa la 7

na ndio maana 2010 tulimsimamisha Jah People mbumge wa Makambako na elimu yake ya darasa la pili maana aliacha shule.,lakini leo anatumikia wananchi sawa na hao drs and profesors huko bungeni.usimsahau na yule mganga wetu profesa maji marefu mbunge wa korogwe.
 
Viongozi wengi wa chadema ndo wale wale tu.Ila kwenye kuongea tunamshukuru mungu wanajua
 
Kwani si mwakilishi wa wananchi tu? mbona mnataka kutubagua wenzenu sisi wenye elimu ya wastani. Siyo kila mwenye elimu ya juu anafaa kuwa kiongozi, kiko wapi wengine pamoja na elimu zenu za juu bado ni wezi wakubwa. Kama sheria inaruhusu mtu mwenye kiwango hicho cha elimu kugombea nafasi ya ubunge nyinyi mnahoji nini? Mnataka kuwanyima watu haki zao za kikatiba?
 
Ukweli ni kwamba uongozi ni kipaji cha Mtu Elimu ni jambo la kusaidia tu na ndo maana ktk katiba mama (feki) tunaambiwa mbunge awe na uwezo wa kusoma na kuandika na awe na akili timamu basi na wala siyo Shahada kama hii yangu au yako wewe unaye semea uwenye kt wa kitogoji na shaka niliyo nayo mm ni kwamba huna nidhamu ndo maana hujapewa na majirani zako
 
Wanashangaza hawa wanaojiita wapinzani
wakichemsha wanakimbilia kujustify kwenye makosa ya CCM,wakati wanataka tuamini wao ni tofauti.
 
GENERAL
Salutation
Honourable
First Name:
Vincent
Middle Name:
Josephat Kiboko
Last Name:
Nyerere
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Musoma Mjini
Political Party:
CHADEMA
Office Location:
Box 557, Musoma
Office Phone:
+255 28 2620610/+255 713 275804
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mukendo Primary School
Primary Education
1983
1985
PRIMARY
Mwere Primary School
Primary Education
1985
1988
PRIMARY
Iringo Primary School
Primary Education
1988
1989
PRIMARY
Ikizu Secondary School
O-Level Education
1992
1995
SECONDARY
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
CHADEMA
Member - District Management Committee
2007
PUBLICATIONS
Description
Published Date
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level
RECOGNITIONS
Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by
No items on list

We we ni miongoni mwa watanzania wanaojaza vyuo wakitafuta MBA, Drs, etc, na hakuna kinachobadilika baada ya kuvipata vyeti hivyo labda sana sana unakuwa umejuana na watu wengi....

Watu walioleta mabadiriko makubwa sana hapa duniani wengi wamekaa miaka michache mno madarasani - WAKE UP AND THINK OUTSIDE YOUR SMALL WORLD!
 
Polojo za wana magamba.com,sawa yeye elimu yake hivyo ulitaka awe na masters ndio awe mbunge???Ile issue kati ya wabunge na mawaziri wenu na yule jamaa anaeitwa Msemakweli iliishaje vile????aliwatungia kitabu akataja kwa majina kuwa wana vyeti feki hebu twambie hapa walimfungulia kesi mahakamani???kesi inaendeleaje?? acha tabia ya kutembea uchi hapa JF banaa.
 
Polojo za wana magamba.com,sawa yeye elimu yake hivyo ulitaka awe na masters ndio awe mbunge???Ile issue kati ya wabunge na mawaziri wenu na yule jamaa anaeitwa Msemakweli iliishaje vile????aliwatungia kitabu akataja kwa majina kuwa wana vyeti feki hebu twambie hapa walimfungulia kesi mahakamani???kesi inaendeleaje?? acha tabia ya kutembea uchi hapa JF banaa.
huyu ni kilaza atachangia nini bungeni kama yeye mwenyewe hajitamuhi kiasi hicho,uwezo wake wa kufikiri ni mdogo hajengi hoja ndiyo maana amekalia siasa za majungu,uzushi,matusi,dharau,mipasho kule Arumeru Mashariki badala ya kumwaga sera za chama chake cha mgambo!
 
Kwa hiyo hata nyie ni kama CCM tu kumbe,sasa mnapingaga nini?

Hilo ungemuuliza aliyeweka hii thread... Mtazamo wake ndiyo uliomfanya akapekue kwenye web ya Bunge,na hakuishia hapo,akaamua kuanzisha thread...

Vinginevyo,nadhani suala la elimu kwa vyama vya upinzani si hoja sana,kama ilivyo kwa chama tawala,ndiyo maana viongozi kadhaa wa chama hicho,wamediriki kujipatia degree za juu hadi Doctorate,katika unaccredited Universities...

Ndiyo mambo ya kukaa kwenye "glass house",kisha unarushia wenzako mawe!
 
We we ni miongoni mwa watanzania wanaojaza vyuo wakitafuta MBA, Drs, etc, na hakuna kinachobadilika baada ya kuvipata vyeti hivyo labda sana sana unakuwa umejuana na watu wengi....

Watu walioleta mabadiriko makubwa sana hapa duniani wengi wamekaa miaka michache mno madarasani - WAKE UP AND THINK OUTSIDE YOUR SMALL WORLD!

Acha uongo tupe data za hao watu waliokaa miaka michache darasani na kuleta mabadiriko katika nchi zao,usitetee ujinga mshauri akasome ili kutanua uwezo wake wa kufikiri na kujenga hoja!
 
SalutationHonourable
Member picture

1771.jpg
First Name: Mohammed
Middle Name:Said
Last Name:Mohammed
Member Type:House of Representatives
Constituent:B.L.W
Political Party:CCM
Office Location:Zanzibar
Office Phone: -
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo

PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date

SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level

RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by

Mleta hoja wa CCM na propaganda zake hakuwahi kuona CV ya marehemu hapo juu!! Au anataka kusema kwa vile VN amemjibu Mkapa then hana point. Je Mkapa na hao wanaCCM mwenye CV kubwa wanaopiga kampeni huko Arumeru wameongea nini cha maana ambacho VN hawezi kukiongelea??


Tatizo la mleta hoja ameleweshwa Propaganda tu!!!
 
We mama porojo hakuna sehemu ambayo vicent kasema mkapa alimuua nyerere. Bcareful. Mkapa kumuua nyerere inatokana na tafakari za watu juu ya swali aliloulizwa mkapa kwanza kwa nn alilazimisha kumpeleka uk tofauti na matakwa ya familia?? Na vilevile kwa nn alitangaza ugonjwa wa mwalimu ikiwa yeye hakuwa dk wala mgonjwa mwenyewe?? Nadhani hajasema kwamba mkapa alikuua nyerere
 
Majibu ya VN kwa Mkapa yameonesha ni namna gani elimu ya darasani inaweza isiwe kila kitu katika kufikiri, jamaa shule ndogo, sawa hoja kuntu, Mkapa shule kubwa, hakuna ubishi-tena na kiinglish anakijua sana, hoja za mtoto tena asiyeanzishwa chekechea.

Naelewa, usomi ni dhana pana, mkulima asiyepita darasani anaweza kuwa msomi nguli kwenye eneo lake, VN kawavua nguo wasomi wa aina ya BWM(ukiacha hili, Ben anabaki kuwa rais aliyerudisha thamani ya Tz ikaharibiwa baada ya kuondoka madarakani)
 
Polojo za wana magamba.com,sawa yeye elimu yake hivyo ulitaka awe na masters ndio awe mbunge???Ile issue kati ya wabunge na mawaziri wenu na yule jamaa anaeitwa Msemakweli iliishaje vile????aliwatungia kitabu akataja kwa majina kuwa wana vyeti feki hebu twambie hapa walimfungulia kesi mahakamani???kesi inaendeleaje?? acha tabia ya kutembea uchi hapa JF banaa.

Bila shaka nawee ni kilaza ndiyo maana unajitahidi kutetea ujinga badala ya kumshauri mwenzio akaongeze elimu,nawe tungekujua vizuri tungeweka elimu yako hapa koz unaonekana ni kilaza kweli kweli tena hasiyejitambua kama si kilaza ebu jibu swali hili la level ya darasa la saba, SWALI : (a)Dr Slaa ameiba mke wa mtu mwaka gani? (b)Ni sababu gani zilizopelekea huyu babu kuiba mke wa mtu? (c)bila shaka wewe ni mkristo,je biblia imempa jina gani mtu mwenye tabia hiyo?
 
nadhani kuna muda mnapaswa kutambua kupata shahada,uzamili,uzamivu sio ishu sana kwani siasa inataka uelewa wa mambo ya msingi na uzalendo ndani yake, wangapi wana madegree ndani ya ccm na ndio waizi wakubwa wanaoiweka nchi kwenye umaskini, nyerere anajua shida za wananchi wake na ndio maana walimkubali na wakampa kura za kutosha na anawatumikia, ni uchapakazi wake ndio umekifanya chama makini cha CDM kumpa ukurugenzi wa kampeni hapa arumeru,
 
Daa! Sasa nimeelewa kwamba kila mtu aliumbwa na uwezo wake wa kufikiria,Kuna mchangiaji kanifanya niamini hvyo yule alisema kuwa vicent atafunguliwa kesi na magamba eti kwa kusema mkapa alimuua nyerere na vp yeye aliyesema vicent sio mtoto wa baba yake anayemjua vicent na madaraka kukanusha umbea huo?Remember there is no fool like an old fool.
 
Ndio maana Mkapa alikuwa na mashaka kama vicent ni wa ukoo wa Nyerere elimu yake imejaa viraka anahitaji kwenda shule kama alivyofanya Mbowe. Elimu haina mwisho lakini inategemea kama anapenda shule

Ni bora yeye hakuchakachua historia ya elimu yake kama wengine waliopo bungeni ni vizuri mkaweka CV za wote tuchuje ni nani mwongo.
Pia kusoma nako kunategemea unaweza ukasoma sana ubongo ukawa zezeta,au huelewi hapa duniani.
Je hao waliosoma wanaipeleka wapi Tanganyika yetu?
Je si ndio hao hao wanahodhi mpaka madaraka na kuwapatia watoto wao waendeleze kuitafuna Tanganyika yetu ?
Je si ndio hao walio uwa elimu Tanganyika ili kusiwe na wasomi ila watoto wao tu wanowapeleka ulaya kusoma?
Je si ndio hao wanao ifanya serikali kuwa legelege?
Je si ndio hao wanaosababisha migomo ya watumishi wa umma?
Elimu mimi huwa sioni kama ni kigezo sana katika utendaji hasa wa kisiasa ilimuradi anakijua kishwahili hapo poa kabisa,maana sasa tunaaza kutafsiri elimu kubwa si tija kwa Tanganyika yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom