kwa continuous waliokosa mkopo

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
kwa wale continuous waliokosa mkopo ambao waliomba upya kwa mara nyingine tunatakiwa tuwe na subira majibu yetu yatakuja,hata mimi ni muathirika wa hilo
ishu iko hivi,mimi nasoma mlimani ila nahisi itakua inafanana kwa vyuo vyote,kuanzia jana continuous wote walioomba mkopo tulikua tunaandika majina yetu kwa loan officer ili bodi wawe na uhakika wa majina watakayotoa hivi karibuni
kwa vyuo vingine kama hawajaanza kuandika hayo majina basi muda si mrefu nahisi wataanza!!

hii ni kwa wale walio omba mkopo kwa mara ya pili!!
hebu tuwasikilizie tuone kama ni kweli au wametuchakachua!!!
 
Taarifa kama inaleta matumain hv ila nadhan kujahaja ya mdodosaji kusema neno hapa coz ana access nzur na tildo ila ni kama ametutosa flan hv,kama kuna mdau mwenye connection za pale atupe uptodates plz,tutakufa watoto wa maskin.
 
Back
Top Bottom