Kwa chadema only!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Jamani nisaidieni! YANI NKISIKIAGA NJIMBO MOJA HIVI YA CDM IITYAYO operation sangara ROHO INATIKISIKA. Kweli siyo kujifanya wala kufanya kampeni. Ila naipenda kinomaa. Ntaacha hata kula hasa ifikapo chorus. I swallow up my saliva. Uchangiapo ctaki majungu!
 
angalia ndugu yangu usije kufa ghafla maana mpaka ROHO YAKO INATIKISIKA! pole sana .Nalog off
 
mkuu umejiandaa kupanda basi lenye usajili T2015CDM? duh mimi huwa nikiusikilza nahisi nataka kupaa halafu hasira kali inanijia natamani nifike magogoni nimchape viboko kama 100 hivi mzembe flani (j...$%^&*)##...K)
 
Back
Top Bottom