Kwa CCM hii ya Magufuli, Mangula na Kinana, CHADEMA ruzuku kwishney

Ccm kina dira gani? Toka tupate uhuru wanahangaika na maji tu zimo kweli wewe?
ccm hakina dira ndio maana kimepata kata 1 kat ya kata 43 za uchaguz wa madiwani...mkuu hii ni reflection tosha..kwa yaliyotokea kwenye huu uchaguz..2020 tusilaumiane
 
hahahahahaaaaaa
Ukikuta raisi anatangaza kuna watu wanakuja toka upinzani ujue tayar ccm hakina nguvu tena anafurahia kupokea watu toka chama cha upinzani ambacho hakina hata dora wala pesa? Hayo mambo yalitakiwa kufanywa na vyama vya upinzani kutafuta wanachama na kushangilia sasa story imegeuka chama kikuu kina wafurahia wakina msando na mtulia.
 
Chadema uchaguzi wa mwaka 1995 ilikua na wabunge watano tuu....imesurvive hadi leo halafu ndio sasa inatabiriwa kufa? All in all kama ni kufa ilitakiwa ife since '95 na mtu anayefurahia upinzani kufa nchinj sidhani kama ana akili timamu....Hata kama upinzani una madhaifu sio wa kuombea kufa ni kuwapa ushauri.Kifo cha upinzani haimaanishi kua Ccm ndio itageuka kuwa malaika.Opposition ipo kisheria na kikatiba na principally upinzani upo ili ku shape the rulling party pale kinapokosea...Kuweka cheap politics mbele kwa kufurahia kifo cha upinzani ni insanity of the highest magnitude.Tz is more than Ccm or Cdm.Tuache siasa cheap na za hovyo.
 
ccm hakina dira ndio maana kimepata kata 1 kat ya kata 43 za uchaguz wa madiwani...mkuu hii ni reflection tosha..kwa yaliyotokea kwenye huu uchaguz..2020 tusilaumiane
Bondia nafurahia ushindi alioupata kwa kupigana na mwenzie aliefungwa kamba mikono tz bana nchi ya ajabu sana hata watu wake kenyata hakukosea aliposema jamaa flan anaongoza maiti.
 
Infact 2020 CHADEMA hakiwezi kupata viti 10 vya ubunge kutoka Bara... Na tusijeshangaa kama CCM itashinda majimbo yote Tanzania nzima
 
siasa..upepo umebadilika sana..upinzani wamefika bei..tumebaki na matamko na kusubili jambo tuongee..ni haki ya kikatiba lakini siasa mtaji ni watu..watu wanataka nini kwa wakati gani.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Uhai wa chama unachangiwa kwa kiwango kikubwa na uwepo wa rasilimali hususan fedha. Bila fedha ni vigumu kuendesha taasisi pana kama chama cha siasa. Chanzo kikubwa cha mapato kwa vyama vyenye wabunge ni ruzuku. Kwa sasa, CHADEMA kinapata zaidi ya milioni 600 kwa mwezi kama ruzuku kutokana na idadi ya wabunge ilionao Bungeni. Fedha hizi ndizo kwa kiwango kikubwa zinatumika kugharamia shughuli za chama Makao Makuu, Kanda na kwenye mashina japo fedha hizo hazijawahi kupelekwa.

2020 tutakuwa na uchaguzi Mkuu ukitanguliwa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019. Uchaguzi Mkuu ndio unaotoa mwelekeo wa kiasi gani chama cha siasa kitapata kutoka kwenye mgao wa fedha za ruzuku. Tunapoelekea kwenye uchaguzi huo, CCM tayari imeshaweka safu yake ya ushindi Ikiongozwa na Magufuli, Mangula na Kinana ambayo watabiri wa mambo ya siasa wanaona kuwa safu hiyo ni kifo cha vyama vya upinzani hususan CHADEMA na CUF ambao kwa sasa wanafurahia ruzuku kutokana na idadi ya wabunge ilionao.

Baada ya 2020, mwelekeo wa kisiasa utakuwa tofauti kabisa. Kama wapinzani watakuwa wamepata viti vingi vya wabunge basi havitazidi 5. Tayari tumeanza kuona dalili za kifo cha upinzani nchini. Katika uchaguzi wa Kata 43, CCM imenyakua Kata 42 na CHADEMA kata 1 tu. Pia kwenye uchaguzi wa Marudio katika majimbo 3 ya Ubunge, tayari CHADEMA na vyama washirika wa UKAWA wanaoungwa mkono na ACT wameweka mpira kwapani.

Niwasihi ndugu zangu mliokusanyika hapo Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa ambao ajira yenu inategemea na uhai wa CHADEMA, tafuteni kazi nyingine ya kufanya. Baada ya 2020, hawahakikishia vyuma si tu vitabana bali vitasuguana. Hapo ndipo vuguvugu la kumng'oa Hayatollah FREEMAN MBOWE litakapokolea.

Nawasilisha
Uchambuzi mwanana kabisa lkn nyumbu hawataelewa.
 
2edc6fa51ca354a6d78bdb3857fea176.jpg
524ab9eff9a225c9c7fa621832c6ecd5.jpg
 
Bondia nafurahia ushindi alioupata kwa kupigana na mwenzie aliefungwa kamba mikono tz bana nchi ya ajabu sana hata watu wake kenyata hakukosea aliposema jamaa flan anaongoza maiti.
njaa zitawaua chadema...kuanzia madiwan mpaka wabunge wana price tag.....ni aibu...ulitaka wananchi wachague viongoz wenye price tag...ili muwaingize gharama...wameshtuka
 
Sadifa alikamatiwa nini dodoma?
 
Viongozi wa Afrika naona akili zao bado ziko likizo, badala ya kupambana na matatizo makubwa ya nchi hii yanayoitesa jamii kama huduma duni za afya, ubovu wa elimu, kilimo duni, matatizo makubwa ya ardhi na diplomasia mbovu ya Kimataifa iliyopo katika nchi hii halafu umejikita kupanga kuua upinzani! Ukiulizwa sababu ya kwanini upinzani ufe eti sababu ya uogo wa kukosolewa?! Kweli nchi hii kufikia kwenye uchumi wa kati ni kitendawili chini ya chama cha mauaji!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Uhai wa chama unachangiwa kwa kiwango kikubwa na uwepo wa rasilimali hususan fedha. Bila fedha ni vigumu kuendesha taasisi pana kama chama cha siasa. Chanzo kikubwa cha mapato kwa vyama vyenye wabunge ni ruzuku. Kwa sasa, CHADEMA kinapata zaidi ya milioni 600 kwa mwezi kama ruzuku kutokana na idadi ya wabunge ilionao Bungeni. Fedha hizi ndizo kwa kiwango kikubwa zinatumika kugharamia shughuli za chama Makao Makuu, Kanda na kwenye mashina japo fedha hizo hazijawahi kupelekwa.

2020 tutakuwa na uchaguzi Mkuu ukitanguliwa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019. Uchaguzi Mkuu ndio unaotoa mwelekeo wa kiasi gani chama cha siasa kitapata kutoka kwenye mgao wa fedha za ruzuku. Tunapoelekea kwenye uchaguzi huo, CCM tayari imeshaweka safu yake ya ushindi Ikiongozwa na Magufuli, Mangula na Kinana ambayo watabiri wa mambo ya siasa wanaona kuwa safu hiyo ni kifo cha vyama vya upinzani hususan CHADEMA na CUF ambao kwa sasa wanafurahia ruzuku kutokana na idadi ya wabunge ilionao.

Baada ya 2020, mwelekeo wa kisiasa utakuwa tofauti kabisa. Kama wapinzani watakuwa wamepata viti vingi vya wabunge basi havitazidi 5. Tayari tumeanza kuona dalili za kifo cha upinzani nchini. Katika uchaguzi wa Kata 43, CCM imenyakua Kata 42 na CHADEMA kata 1 tu. Pia kwenye uchaguzi wa Marudio katika majimbo 3 ya Ubunge, tayari CHADEMA na vyama washirika wa UKAWA wanaoungwa mkono na ACT wameweka mpira kwapani.

Niwasihi ndugu zangu mliokusanyika hapo Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa ambao ajira yenu inategemea na uhai wa CHADEMA, tafuteni kazi nyingine ya kufanya. Baada ya 2020, hawahakikishia vyuma si tu vitabana bali vitasuguana. Hapo ndipo vuguvugu la kumng'oa Hayatollah FREEMAN MBOWE litakapokolea.

Nawasilisha
Kama watakuja kupalilia mihogo yangu nitawapigia chapuo.
Otherwise wanajichotea tu mihela yetu ambayo sisi tunaipata kwa kuvuja jasho.
 
Back
Top Bottom