Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.

Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.

Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
 
Maana yake mmewanunua ili wawe mazuzu sababu za ruzuku ambayo haki yao kisheria ? Mwisho wa Kinana kufikiri ndio hapo ?
 
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
 
Kwani wqliweka wazi maridhiano ? Kuna mengi sana walikubaliana na imekuwa siri yao only....Mzee Kinana ameropoka kwa sababu zake...labda blackmail ....kwa CDM!
 
..Kama tunataka uwazi basi tuombe taarifa za ruzuku ktk vyama vyote sio kutaka ya Chadema peke yao.
 
..pia kwanini CCM hawaelezi mambo waliyoyakataa ktk maridhiano?

..mimi nahisi wanaogopa kusema walikata nini kwasababu huenda ni mambo yenye manufaa kwa wananchi.
 
Kwani wqliweka wazi maridhiano ? Kuna mengi sana walikubaliana na imekuwa siri yao only....Mzee Kinana ameropoka kwa sababu zake...labda blackmail ....kwa CDM!
Haiji kwa bahati mbaya... Mbowe kaamua kukataa baadhi ya Mambo yao na wawo wanaamua kuanika usiri wa hayo maridhiano...
 
..Kama tunataka uwazi basi tuombe taarifa za ruzuku ktk vyama vyote sio kutaka ya Chadema peke yao.
Huelewi nini?, Hizo pesa chama walitoa taarifa lini kuzipokea ikiwa Mara ya mwisho chama kilisema hakitachukua ruzuku kwa serikali iliyoingia kwa wizi na dhuruma!. Hii umekuja baada ya maridhiano kubuma.... Kuna tatizo na wizi ww pesa hizi...
 
Kwa hiyo? Jee ilikuwa hisani kwao au their rights?
Kinana kama kasema hayo basi CCM ya sasa kumbe ni wote wameweka ufahamu kabatini.
Amejidhalilisha sana eti Rais akakubali? Ngoja ninyamaze tuu ili nimalizie moyoni na nyie pia mtamalizia

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom