Kwa anayetaka kununua nyumba dar tuwasiliane

Hapa Bongo je iko hivyo? kama zipo kampuni sijui lakini wengi wao ni wababaishaji.
Jamani acha kulalama kama unataka nyumba tutakuonesha ukitaka kampuni za real estate tutakuonesha , mi nashughurika na biashara ya kuuza nyumba na viwanja ukihitaji hivyo v2 nitafute hayo mengine ya kwako.
 
Nyumba bado zipo wakuu na pia kama mtu ana kiwanja anataka kujengewa pia anione tuko na team ya vijana 20 pamoja na vifaa vya kazi kama mtaji wa kununua marighafi kama tofari ,mchanga, cement nk tunaweza kujengea nyumba yako ndani ya siku 90.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom