Kwa anayetaka kununua nyumba dar tuwasiliane

Kaka shemeji huogopi tsunami? Uagize basi na maboya kabisa.
Ok mkuu,ipo ufukweni kabisa?Ama ni some distance?Kama unayo ya ufukweni kabisa basi ninahitaji details mkuu,pia na picture,kwa mfano hizo hapo chini,unaweza kuona proximities zake from the water...Shukran.
Sanibel_Island_Beach_House_Back.jpg
Billy-Joel-beach-house-deck-beach.jpg
 
Hivi hiyo ya picha ya kwanza Mh.Prof. Tibaijuka amekwisha iona kweli? Kwa mawazo yangu aiwezi kukwepa UPANGA wake - hiko karibu mno na fukwe. Kitu kingine mbona atuoni waswahili wakivinjali mkuu, zisije zikawa za majuu.
 
Tunauza nyumba za kuanzia 17m - 7bn, nyumba hizi zipo masaki , obey, mikocheni, mbezi beach , mbezi ya kimara , kawe nk tunazo nyumba mpya na chakavu. utatujulisha aina ya nyumba unayotaka then tutakutumia picha ya nyumba ya hiyo nyumba ama unaweza kuja na ukaiona. pia tuna viwanja vya ukubwa wote unaotaka hapa Tanzania.

Tumejipanga na tuona utaratibu wa namna ya kufanya hiyo kazi tupigie tutakwambia 0657 145555, 0755 099 291
& 0686 200 117 Akili.

Imefika wakati hizi biashara za udalali ziandikishwe kisheria ili kuepusha udanganyifu na ziweze kulipa kodi halali serikalini. Kampuni iandikishwe kwa jina na kazi zake ziwe wazi, taifa linapoteza fedha nyingi sana tunaendelea kuwa masikini.
 
Ok mkuu,ipo ufukweni kabisa?Ama ni some distance?Kama unayo ya ufukweni kabisa basi ninahitaji details mkuu,pia na picture,kwa mfano hizo hapo chini,unaweza kuona proximities zake from the water...Shukran.
Sanibel_Island_Beach_House_Back.jpg
Billy-Joel-beach-house-deck-beach.jpg

Sidhani kama inaruhusiwa bongo hiyo.
 
Hivi hiyo ya picha ya kwanza Mh.Prof. Tibaijuka amekwisha iona kweli? Kwa mawazo yangu aiwezi kukwepa UPANGA wake - hiko karibu mno na fukwe. Kitu kingine mbona atuoni waswahili wakivinjali mkuu, zisije zikawa za majuu.
Siyo za bongo mkuu,nilitaka kujuwa kama ninaweza kupata zilizoko kwenye proximity hiyo.Hapo Dar naona kama kuna namna wana overprice hiyo mijengo.
 
Ok mkuu,ipo ufukweni kabisa?Ama ni some distance?Kama unayo ya ufukweni kabisa basi ninahitaji details mkuu,pia na picture,kwa mfano hizo hapo chini,unaweza kuona proximities zake from the water...Shukran.
Sanibel_Island_Beach_House_Back.jpg
Billy-Joel-beach-house-deck-beach.jpg
Asante kiongozi mi nilizonazo ziko mbali ni na maji moja ipo mtoni kijichi na nyingine ipo ununio . sasa hizi nyumba za aina hii huwa tunaletewa city plan labda tuangalia namna ya kuwasiliana nikuletee hizo document
 
wakuu soon tutatengeneza blog yetu asanteni kwa ushauri
 
Mkuu nitafutie moja Kinyerezi au tabata...ni PM ukiipata Bei suijali sana ila iwe kuanzia 100 million.

Ukubwa wa Kiwanja muhimu na kiwe na hati
 
Imefika wakati hizi biashara za udalali ziandikishwe kisheria ili kuepusha udanganyifu na ziweze kulipa kodi halali serikalini. Kampuni iandikishwe kwa jina na kazi zake ziwe wazi, taifa linapoteza fedha nyingi sana tunaendelea kuwa masikini.
Hizi biashara ziko kisheria na zinatambulika sehemu yoyote Duniani kuna makampuni makubwa tu ya udalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom