Kwa anayejua jinsi wanavyochagua

0767854945

Member
Jul 5, 2013
74
2
jamani,mimi nimetuma maombi wizara ya afya mwaka huu nina division two ya 18,nina B ya chemistry,D ya biology,C ya physics,pia masomo ya advantage mathematics nina B,english nina D,NIMEOMBA KUSOMA DIPLOMA KOZI YA UTABIBU(DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE),TATIZO LANGU HASA NI D YA BIOLOGY AMBALO NI SOMO LA MSINGI JE,NAWEZAKUCHAGULIWA WAKUU WA JF.
 
Mwaka gani mkuu umemaliza form 4
 
D ya ACSEE au CSEE?
 
2009 mkuu
Nikumuomba tu Allah mkuu mi mwenyewe nina c ya bios na chem c engl d math f nimeomba co na medical labaratory technology ilo f la math ndo linaniumiza kichwa Ila mkuu usikonde Nikumuomba tu Allah Kwa ye ndo kila kitu
 
ww afadhali umefaulu vizuri masomo ya msingi
 
Nikumuomba tu Allah mkuu mi mwenyewe nina c ya bios na chem c engl d math f nimeomba co na medical labaratory technology ilo f la math ndo linaniumiza kichwa Ila mkuu usikonde Nikumuomba tu Allah Kwa ye ndo kila kitu
Wakati mwingine Mungu anaonewa tu, hapo hakunan swalaah wala sala njia za kupitia zipo wazi, jiandae upya rudia mtihani uliopata F hakikisha unaweka nguvu zote kwenyue hilo somo moja, ukifaulu njia nyeupe.
 
mm nmemalza 4m 4 mwka 2012, nna B ya biology, B ya chemistry na C ya physics, Je chuo kipi cha afya naweza kupata nafac?, pia kwa muda huu naweza kuapply chuo na kupata?, naomba msaada wenu wanaJF.
 
Hutaki advance mkuu
 
Hutaki advance mkuu

Advance nlikuwa napenda tena sana2, bt selection zmebadlisha dira ya maisha yangu, nimepangwa HGE, shule moja hv iko TUKUYU, ningeweza kwenda kubadlisha comb, lkn shule hiyo ina art pekee, swala la uhamisho cna referee, kwenda private sina uwezo, nikienda kusoma hiyo comb ntakuwa nadangaya Taifa coz haipo moyoni hata kodogo.
 
ngoja nikupe ujanja kwanza angalia matokeo ya last year acsee ya hyo shule alaf ukiona kuna matokeo ya watu walosoma comb ambayo unaitaka ukiona nenda alafu ukabadilishe comb nenda a.level acha ujinga wewe
 
Advance nlikuwa napenda tena sana2, bt selection zmebadlisha dira ya maisha yangu, nimepangwa HGE, shule moja hv iko TUKUYU, ningeweza kwenda kubadlisha comb, lkn shule hiyo ina art pekee, swala la uhamisho cna referee, kwenda private sina uwezo, nikienda kusoma hiyo comb ntakuwa nadangaya Taifa Coz haipo moyoni hata kodogo.
Pole sana kijana.Kwa sasa muda kuapply vyuo vya serikali umeisha labda private ambavyo ada yake ni kubwa sana.mungu akuongoze katika njia ya malengo yako uliyopanga
 
jamani,mimi nimetuma maombi wizara ya afya mwaka huu nina division two ya 18,nina B ya chemistry,D ya biology,C ya physics,pia masomo ya advantage mathematics nina B,english nina D,NIMEOMBA KUSOMA DIPLOMA KOZI YA UTABIBU(DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE),TATIZO LANGU HASA NI D YA BIOLOGY AMBALO NI SOMO LA MSINGI JE,NAWEZAKUCHAGULIWA WAKUU WA JF.

Ukweli ni kwamba hautopata nafasi kwa kozi uliyoomba, na sababu ni hiyo D ya biology. Kwanini usiende Form Five PCM ambayo umefaulu vizuri?
 
mm nmemalza 4m 4 mwka 2012, nna B ya biology, B ya chemistry na C ya physics, Je chuo kipi cha afya naweza kupata nafac?, pia kwa muda huu naweza kuapply chuo na kupata?, naomba msaada wenu wanaJF.

Dogo nenda form five achana na hizi kozi za vodafasta utakujaumia roho uzeeni. Umefaulu vizuri, nenda form five ukaende university upate degree uanzie pazuri, hivi vyuo vingine hasa vya afya ni shida tu unatafuta. Hivyo waachie wasiokuwa na pa kwenda.
 
Ukweli ni kwamba hautopata nafasi kwa kozi uliyoomba, na sababu ni hiyo D ya biology. Kwanini usiende Form Five PCM ambayo umefaulu vizuri?

upo sahihi kabisa hiyo D ya bios inamkosesha nafasi maana viwango vya wizara ni c 2 na d physics sasa nikushauri uapply certificate ya co au nursing!afu sasa certificate sikuhizi wanaajiliwa sana kuliko diploma mfano mzuri certificate ya nursing waliokula ajira ni 1028 wakati diploma ni 78 tu!ni ushauri tu lakini!
 
Back
Top Bottom