benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwa kuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
Rais Samia ameeleza kuwa ndege mpya ya mizigo ya ATCL inayokaribia kuwasili nchiniilipaswa kulipiwa Dola Milioni 37 lakini invoice imekuja dola milioni 86 na pale alipohoji mkataba ulisemaje? na ongezeko limetokana na wapi?, alipewa majibu mepesi mepesi kama vile vifaa vimepanda bei
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” Alisem Rais Samia.
KWA HALI KAMA HII NI VYEMA MKURUGENZI WA ATCL NA TIMU YAKE WAKATANGULIA MLANGO WA KUTOKEA MAPEMA KABLA FEDHEHA YA KUTUMBULIWA HAIJAMKUTA