Kuzuia wimbo wa chura, ni kuzuia uhuru wa wananchi, ni uonevu na Unyanyasaji

Porn mnaangalia,Video za mbele dirty version mnaangalia ila Hii eti maadili still akili zenu ni static hamjui maisha yamebadilika sana sio enzi zile za RTD au ITV siku iz kuna whatsapp kuna youtubu kuna smartphone full kuangalia wabongo shida saaaana. Maisha yamekua huru sana siku iz unfanya unalotaka karibu kila nyumba 10 karibia nyumba 9 wana smartphone sasa maadili sijui n yapi

Watu wanazungumzia maadili....maadili gani?

Kila siku wanatukanana huko instagram huku wenyewe wakiona sifa halafu likija suala la video wanaanza ku invoke maadili.

Mbona hatuwasikii wala kuwaona wakipiga kampeni ya kuondoa haya madanguro yaliyojivika sura za gesti au sijui loji...

Kuna maadili nchi hii?

Mijitu inapenda ngono na matusi halafu inaleta unafiki wa maadili.

Em effers.......
 
Wasanii wa kike mnauwezo wa kutoka kimzki bila kutumia miili yenu kuboresha kazi zenu,haina haja ya kuImba kwa nusu uchi au kutumia nyonga sana ivyo vyote haviusiani na ubora wa muziki wk,wanaume wanaimba wakiwa wamevaa vizuri na kazi zao tunazipenda.
Snura unaharibikiwa ulikuja vizuri lkn unapoelekeea hata wanao wakipata ufahamu watajutia kuwa na mama km.ww.
 
Mkuu..
Usisahau watanzanzia tulio wengi ni wanafiki..
Video za Makaburu kutwa tunazifurahia nawengine wamezikariri hadi video zake..
Maadili gani mnazungumzia hapa..??

Unafiki uko kwenye DNA yetu.

Hahaaaaa eti maadili......au siku hizi neno maadili lina maana mpya?
 
Naunga mkono kabisa huu wimbo kupigwa marufuku kuonyeshwa kwenye TV huko Youtube na kwingineko wanaoupenda wakauangalie huko...Nyimbo gani ile sasa umekaa na watoto wako wakike then lintokea linyimbo kama hilo kwenye TV aibu kabisa....
kumbe ushaiangalia?by the way snura kasema wimbo hautoenda mainstream!utabaki youtube!
 
Wewe kwa akili zako huoni ule ni uvunjifu wa maadili?
Hata hivyo hatufanani,wanaoutetea huo wimbo wanajulikana ni watu wa aina gani.
Ila binafsi naunga mkono,upigwe marufuku.
Hujanitendea haki muanzisha thread. Mimi nimeleta mjadala kwa sababu kuna tamko litafuata. Ukisoma between lines utanielewa vyema.
 
Mnaotetea hili ninawaombea kwa Mungu itokee urudi nyumbani kwako siku moja, unafungua mlango unamkuta binti yako amebinuka anatikisa makalio ,ndio ujue kama utamshangilia au utaishiwa nguvu na kukaa chini.

Hivi kabisa ktk akili yako unadhani vibinti vya siku hizi havijui kutafuta video za ku
 
Hivi kabisa ktk akili yako unadhani vibinti vya siku hizi havijui kutafuta video za ku
Nawe katika akili yao utaridhia kabisa bintiyo wa miaka kumi na mbili amejibidua juu ya kochi na kanga moja iliyolowa anajitikisa...........ok labda utamwambia "waoooo Maoreen...."
 
Nawe katika akili yao utaridhia kabisa bintiyo wa miaka kumi na mbili amejibidua juu ya kochi na kanga moja iliyolowa anajitikisa...........ok labda utamwambia "waoooo Moreen...."

Ni wazi nikiona kwa macho yangu nitakemea.

Lakini sijidanganyi eti kuwa video ya chura ikifungiwa kwenye runinga ndo haitaonekana tena.

Au unadhani watoto hawajui pa kuipata?
 
Wew
Wewe kwa akili zako huoni ule ni uvunjifu wa maadili?
Hata hivyo hatufanani,wanaoutetea huo wimbo wanajulikana ni watu wa aina gani.
Ila binafsi naunga mkono,upigwe marufuku.
Wewe mrembo huu mchezo hauhitaji hasira
 
Wewe kwa akili zako huoni ule ni uvunjifu wa maadili?
Hata hivyo hatufanani,wanaoutetea huo wimbo wanajulikana ni watu wa aina gani.
Ila binafsi naunga mkono,upigwe marufuku.
Kiukweli hii video ya huu wimbo haina maadili na nadhan hata mtoa wimbo amenukuliwa akisema huu wimbo ni kwa you tube tu,lakini hata wale wasiopaswa kuruhusiwa kuuona watauona huko you tube tu maana devices wanazo.Mfano watoto na watu wengine.Jambo la pili haya mambo yapo uswahilini kwetu like Mwananyamala,Tandale,Tandika,Magomeni,Manzese na kwingineko na yanapofanyika yanafanywa hadharani kabisa na mchana kweupeee,wala hakuna wa kuzuia.Kuna siku nilikuwa Tandale sokoni walipita watu wa dizaini hiyo,kuna dada alivaa dera alisasambua mpaka bikini ikaonekana it was saa 9 alasiri mi nilishangaa sana,mwenyeji wangu akanambia TUSHAYAZOEA HAYA.
Na pia itakuwaje kama MTV wataucheza huu wimbo?Au channel yeyote ya nje?
Any way ila bado kuna changamoto sana namna ya kudhibiti hizi mambo
 
Wewe unaangalia porn mbele ya watoto na wazazi wako? Tv ni starehe ambayo unaweza kaa na wazazi pamoja na watoto mkatizama, wewe unaweza kaa nao kutizama huo upuuzi Chura. Smartphone ni kitu chako binafsi unaweza weka namba ya siri isifunguliwe na mtu mwengine.

Hata Puli au k*nya hufanyi na watoto au wazaz so vitu vingine jaribu ku think deep mfano america video au movie hua wanaandika kabla yakuonesha pia hata dekoda mfano za dstv zimeandika age restriction kwa kila program so wanajua maana ake n nin.na kuna vitu vya kuangalia na family kama mpira
 
Kwanza kama wimbo wenyewe umekua dedicated kwa vyura sisi binadamu kinachotuuma nini? Mandhari yenyewe ya kutolea shooting kwenye maji ni ushahidi tosha kwamba walengwa walikuwa vyura!
 
Wasanii wa kike mnauwezo wa kutoka kimzki bila kutumia miili yenu kuboresha kazi zenu,haina haja ya kuImba kwa nusu uchi au kutumia nyonga sana ivyo vyote haviusiani na ubora wa muziki wk,wanaume wanaimba wakiwa wamevaa vizuri na kazi zao tunazipenda.
Snura unaharibikiwa ulikuja vizuri lkn unapoelekeea hata wanao wakipata ufahamu watajutia kuwa na mama km.ww.

Beyonce anaimba nusu uchi na ana mtoto na maisha yanaendelea pale New york bila kelele pesa kibao mpka kuna watu wanataman wao wangekua ivy blue carter *****
 
Back
Top Bottom