Kuzalia Marekani

Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta wanatoka nchi za Ulaya kama Uingereza na kuja Marekani kuzalia. WTF?

Wanakaa hadi wanajifungulia huko. Wakishajifungua hao wanarudi zao huko walikotoka. Sielewi kwa nini wanafanya hivyo lakini sababu naijua. Nyinyi wadau mnalionaje hili? Ni jambo jema au ni jambo linaloendeleza ile dhana ya Miafrika na jinsi ilivyo....
Mkuu hapo kwenye red sijakupata.
 
Kwa kiasi kikubwa kuna hitirafu kubwa kwenye bongo za wa afrika wa miaka hii...sijui ni kitu gani kimetokea katika bongo zetu.....
Ukitazama historia utakuta wazungu walifanya kazi kufa na kupona na hata kuhatarisha maisha yao kwa ajili ya kuwaandalia kesho njema vizazi vyao....katika harakati hizo uatakuja kuona kuwa ni jinsi gani wazee wetu walivyopambana kufa na kupona kupigania mali zao japo kwa silaha zao duni....hata wale waliotekwa kama watumwa walijiua huko kwa kuwa hawakuamini kuishi kuwa kuna maisha ya furaha katika ardhi ya ugenini.....tumesoma katika historia kuhusu vita vya maji maji na wakina Mkwawa walivyopambana na wajerumani kwa ajili ya utu wao.....
Lakini miaka hii imekuwa ni ajabu sana yaani mpaka inafikia hatua mpaka Muafrika yupo tayari kuhatarisha maisha yake ili aende utumwani.....yaani siku hizi tunatumia nauli zetu wenyewe kujipeleka utumwani......tunajipeleka wenyewe kwenye kubaguliwa....tunajipeleka wenyewe kwenye kudharauliwa na kufananishwa na nyani.......hii ni laana na kusaliti juhudi za wazee wetu katika kupigania uhuru wetu....hata hivi vilivobakia ni matunda ya mapambano yao....

Ndugu zangu wa Afrika hata siku moja mzungu au mtu mweupe hawezi kuwa na nia njema na mtu mweusi...hiyo ipo hivyo mpaka mwisho wa dunia...hata huo upendo wanaotuonyesha ni wa kinafiki.......hata wale ndugu zetu mliopata kazi huko ughaibuni msipasahau kwenu....

Hao wazungu mnaowakimbilia kwenda kuwazalia huko na kuwapa uraia sijui makaratasi si kwamba wao ni wajinga sana la hasha bali wanajua wanachokitaka kwa kuwa systerm zao zimeshaandaliwa miaka mingi na hi ni kama utekelezaji tu.....

Chonde chonde ndugu changamoto hazikimbiwi bali zinatafutiwa ufumbuzi....hao mnaowakimbilia kwa kuwa kwao kuna neema ni baada ya wao kufanikiwa kupambana na changamoto zao na hatimaye kuwa kama mnavyoona leo....

MUNGU BARIKI AFRIKA...
 
Amina amina......
 
Back
Top Bottom