thanks a lot!
the work is in progress!
Utakapopata meno meupee pepeee!! Ubandike picha hapa ili tuone ulivyofurahi huku ukitamka "cheese".
thanks a lot!
the work is in progress!
Wanaopika keki wanatumia baking powder, na wanaopika half cake wanatumia bicarbonate of soda
Hizo ni powder aina mbili tofauti. Unatakiwa kutumia hii bicarbonate of soda kama unavyotumia dawa ya meno(tooth paste) unapopiga mswaki.
Siku mbili, tatu tu...baada ya hapo utumie wiki mara moja. Haina ladha nzuri,lakini mabadiliko utayaona mara ya kwanza utakapotumia. Na hiyo habari ya kutoka damu itapotea.
Tumia hiyo bicarbonate of soda baadae urudi na ushuhuda.
sasa mkuu! hiyo banking powder, ukishaitumia ndo hutumii tena dawa ya meno? Na kwacku inatakiwa kutumika mara ngap? Na kwa mda gan?. Msaada wako kwa hlo tafadhal.
whats wrong with the [MENTION=41477]crocodile ##no wrong, name resemble accident
hivi banking powder sio bicabornate of soda?vipi na hii sodiumbicabornate(SODIBIC)Naomba mnisahihishe hapa
bicarbonate of soda.
Banking powder
peroxide hydrogen zikichanganywa inafanya kazi kwa namna gani
hivi banking powder sio bicabornate of soda?vipi na hii sodiumbicabornate(SODIBIC)
hivi banking powder sio bicabornate of soda?vipi na hii sodiumbicabornate(SODIBIC)
Mimi ni Arusha boy meno yangu yameoza nilienda kairuki kutaka kuyasafisha wakasema meno yako cyo machafu bali yana madini ya chloride ambayo yanasababishwa na maji yetu pale Arusha, hili tatizo pia lipo shynyanga. Basi alisema kuwa kusafisha haiwezekani bali watafanya kitu kinaitwa teeth cosmetic ie. Kubleach meno yanakuwa meupe kwa jino moja ni 50000
Kama uko dar nenda regency hosp watayaosha meno na kuyapolish naamini yatakuwa meupe unavyotjaka.
Je bei ni ngapi?
link ya nini mkuu ungefanya hii link kamaa sosi copy na paste ili sie wenye michina tusome vizuri..