Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

Mimi ni Arusha boy meno yangu yameoza nilienda kairuki kutaka kuyasafisha wakasema meno yako cyo machafu bali yana madini ya chloride ambayo yanasababishwa na maji yetu pale Arusha, hili tatizo pia lipo shynyanga. Basi alisema kuwa kusafisha haiwezekani bali watafanya kitu kinaitwa teeth cosmetic ie. Kubleach meno yanakuwa meupe kwa jino moja ni 50000

ila baada ya hapo hutoweza kutumia kitu cha baridi wala cha moto.
 
mkuu r yu serioz kweli?
teh! naona kunakila dalili ya kugeuza meno ya mleta uzi kuwa maandazi na
kalimati.

haaa haaaa
hizi shauri nyingine tuangalie tu meno yasipukutike au kinywa kuumuka lolz

ushauri wa dr. ni muhimu
 
NANI NINANI? ,ILA ALIEONYESHA KOPO LILE NAWEZA KUAMINI KIDOGO,wengineo unaweza kujikuta umekuwa kibogoyo! noma sana hiimambo,tuelezeni na kutoa harufu mdomoni maana unaweza kusukutua bado harufu isitoke
 
mkuu r yu serioz kweli? teh! naona kunakila dalili ya kugeuza meno ya mleta uzi kuwa maandazi na kalimati.

Nenda dukani kanunue baking soda aka bicarbonate of soda(sio baking powder), tumia hiyo badala ya tooth paste utakapotaka kupiga mswaki. Hiyo mara ya kwanza utaanza kuona mabadiliko na kinywa kinabaki fresh kwa muda mrefu na meno yanang'ara.

 
Last edited by a moderator:
Sijui unaishi wapi lakini hii kitu hufanya kazi vizuri tu.

plus-peroxide-whitening-mouthwash_0_1.png


Kwa taarifa zaidi bofya hapa

ahsante sana mkuu kwa practical data!

mi niko dsm, sasa sijui bei yake hasa ni shs ngapi vile?
 
Nenda kang'oe yote alafu ungoje yaote mengine..lazima yatakuwa meupe kama yangu..

ahsante kaka!

ila kumbuka signature ya grand amour inavyosema!

.................... mwenye busara hujifunza kila wakati, hata kutoka kwa .....!

so nimejifunza kitu!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Arusha boy meno yangu yameoza nilienda kairuki kutaka kuyasafisha wakasema meno yako cyo machafu bali yana madini ya chloride ambayo yanasababishwa na maji yetu pale Arusha, hili tatizo pia lipo shynyanga. Basi alisema kuwa kusafisha haiwezekani bali watafanya kitu kinaitwa teeth cosmetic ie. Kubleach meno yanakuwa meupe kwa jino moja ni 50000

duh!

50,000 x 32 ?

mbona gharama sana aisee!
 
Wanaopika keki wanatumia baking powder, na wanaopika half cake wanatumia bicarbonate of soda

Hizo ni powder aina mbili tofauti. Unatakiwa kutumia hii bicarbonate of soda kama unavyotumia dawa ya meno(tooth paste) unapopiga mswaki.

Siku mbili, tatu tu...baada ya hapo utumie wiki mara moja. Haina ladha nzuri,lakini mabadiliko utayaona mara ya kwanza utakapotumia. Na hiyo habari ya kutoka damu itapotea.

Tumia hiyo bicarbonate of soda baadae urudi na ushuhuda.

thanks a lot!

the work is in progress!
 
yapo memo yana asili ya unjano by nature hayo huwa ni never kuwa meupe jitahidi kunywa maziwa fresh sana glass 1 wakati wa kulala kwa siku 30 mfululizo hata kama kunahuo uasili hutoweka

whats wrong with the crocodile ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom