Rjohn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 613
- 128
kweli kabisa mkaa noumer
PIa waweza tumia ndimu au limao na chumvi sukutua mara tatu kwa siku, baada yamda kdogo utanambia
kweli kabisa mkaa noumer
mbona mbishi..
mimi ya kwangu mekundu kama sukari guru nayapenda hivohivo wewe endelea kusaka tiba
Mimi ni Arusha boy meno yangu yameoza nilienda kairuki kutaka kuyasafisha wakasema meno yako cyo machafu bali yana madini ya chloride ambayo yanasababishwa na maji yetu pale Arusha, hili tatizo pia lipo shynyanga. Basi alisema kuwa kusafisha haiwezekani bali watafanya kitu kinaitwa teeth cosmetic ie. Kubleach meno yanakuwa meupe kwa jino moja ni 50000
Piga mswaki na majivu au mkaa..believe yatang'aaa kama theruji
mkuu r yu serioz kweli?
teh! naona kunakila dalili ya kugeuza meno ya mleta uzi kuwa maandazi na
kalimati.
Pharmacy!!,unasukutua tuu, for some weeks meno yanang'aa
mkuu r yu serioz kweli? teh! naona kunakila dalili ya kugeuza meno ya mleta uzi kuwa maandazi na kalimati.
haaa haaaa
hizi shauri nyingine tuangalie tu meno yasipukutike au kinywa kuumuka lolz
ushauri wa dr. ni muhimu
Nenda kang'oe yote alafu ungoje yaote mengine..lazima yatakuwa meupe kama yangu..
Mimi ni Arusha boy meno yangu yameoza nilienda kairuki kutaka kuyasafisha wakasema meno yako cyo machafu bali yana madini ya chloride ambayo yanasababishwa na maji yetu pale Arusha, hili tatizo pia lipo shynyanga. Basi alisema kuwa kusafisha haiwezekani bali watafanya kitu kinaitwa teeth cosmetic ie. Kubleach meno yanakuwa meupe kwa jino moja ni 50000
Hydrogen peroxide inasaidia kufanya meno yawe meupe
Wanaopika keki wanatumia baking powder, na wanaopika half cake wanatumia bicarbonate of soda
Hizo ni powder aina mbili tofauti. Unatakiwa kutumia hii bicarbonate of soda kama unavyotumia dawa ya meno(tooth paste) unapopiga mswaki.
Siku mbili, tatu tu...baada ya hapo utumie wiki mara moja. Haina ladha nzuri,lakini mabadiliko utayaona mara ya kwanza utakapotumia. Na hiyo habari ya kutoka damu itapotea.
Tumia hiyo bicarbonate of soda baadae urudi na ushuhuda.